Kuna Sheria Iyo?Malizia...
Mkewwe anarithi mafao yote ya uspika
Anaolewa na kijana mdogo
Wanatumbua hela za marehemu
Kuna Sheria Iyo?Malizia...
Mkewwe anarithi mafao yote ya uspika
Anaolewa na kijana mdogo
Wanatumbua hela za marehemu
kwamba kifo now ni punishment?Sana, tutende wema aisee yule Mama na ulokole wake aligoma kutoa rushwa mahakamani kabisa kwa sababu walimtengenezea hiyo kesi. Ndiyo maana hata Dkt Samia hivi vifo vya watakatifu anaonywa, ghazabu ya Mungu aliye hai ni kuu. Huwezi fungia kanisa uwe hai au kuagiza watu kama mdude wauawe ka inzi au Mzee Kibao auawe kwa kutobolewa macho useme kifo ni kifo tu bila hatua
Karma is real ndio maana nimuhimu kutoshindana na Mungu ni bahati mbaya watawala wetu wanashindana na Mungu kutakuwa na nusu mlingoti nyingi sana maana Mungu huwap8nga wenye kiburi.. endHuyu jamaa amekuwa na mwisho mbaya na hakuwa MTU wa rohoni .
Mara anafukuzwa katika cheo
Anachambwa Kama mtoto
Mara anaomba msamaha
Mara anazomewa .
Usiku wa manane anaiba kura katika tug of war anatangazwa.
Pressure kisukari vinaibuka anafariki kifo cha aibu Sana .
Cursed man.
Eeeh hawatosheki jamani!acha Mungu azungumze naoHapana 😂 ni mwaka wa Mungu
Na Mungu Yuko kazini kushughulika na ambao hawatosheki
Yajayo yanavyofurahisha
Km kuzika tutazika sn mpk ifike October 🙌
When evil is the leaderKuna kipindi alitaka ardhi ya kulima/mashamba sehemu, mu mama mumoja bosi akagoma, akaagiza watu wake kesi mumama akapatikana na hatia akafukuzwa ukurugenzj akatakiwa kutoa rushwa mahakamani mumama ni mlokole akamuachia Mungu akafungwa miaka 20, machozi balaa sijui kama alikata rufaa
Catholic Certificate of Indulgence.Hii dhana ya kuombeana ilianzishwa na wajanja fulani ili kujipatia fedha
Ndio maana Ndugulile alisema kula vizuri uishi vizuri,ukifa watu watavitumbua bila huruma.Yule jamaa aliona mbali hata kifo chake.Malizia...
Mkewwe anarithi mafao yote ya uspika
Anaolewa na kijana mdogo
Wanatumbua hela za marehemu
Napigia mstari neno MuhamadiSasa kinachofuata kuwa fundisho Ndio kinasemwa sana! Mbona shetani, Frao, Goliath, Muhamad, Hitler, Mussolin mpaka vitabu wameandikiwa kabisa Kwa ajili ya kumbukumbu zisifutike?
Watu hawana hofu ya MunguKuna kipindi alitaka ardhi ya kulima/mashamba sehemu, mu mama mumoja bosi akagoma, akaagiza watu wake kesi mumama akapatikana na hatia akafukuzwa ukurugenzj akatakiwa kutoa rushwa mahakamani mumama ni mlokole akamuachia Mungu akafungwa miaka 20, machozi balaa sijui kama alikata rufaa
Usipojisahau haufi? Andika ujumbe mzuriHuyu jamaa amekuwa na mwisho mbaya na hakuwa MTU wa rohoni .
Mara anafukuzwa katika cheo
Anachambwa Kama mtoto
Mara anaomba msamaha
Mara anazomewa .
Usiku wa manane anaiba kura katika tug of war anatangazwa.
Pressure kisukari vinaibuka anafariki kifo cha aibu Sana .
Cursed man.
Nazidi kujifunza hata kwa familia tunatakiwa kuwa wapole sana. Hakuna linalodumu ila upendo ndiyo unadumu. Same kama Lowasa, naye kuna Mumama Mlokole same same pale Dodoma yuke Mumama alisimamishwa uongozi for sometimes kisa aligoma maelekezo ya lowasa na watu wake wakasubiri yupo likizo mumama wakamchomekea kitu aisee yule Mumama aliteseka balaa ila baadaye akaja kurejeshwa kwenye nafasi yake baadaya ya Maombi makali ila mwisho wa siku Ngoyai uwaziri mkuu ukaota mbawa na hatimaye u mauti.When evil is the leader
Huyu mwanamke Erythrocyte sijui ana hali gani mana sio kwa ngonjera vile alizokuwa anamuimbia
Unaweza kutangulia wewe ukamuacha yeye
Typing error, hapo itakuwa 1971-1977msingi kutoka Shule ya Msingi Mtare kuanzia mwaka 1991-1997. Alianza elimu ya Sekondari ya Kibaha mwaka 1978-1981 na kumalizia Shule ya Sekondari Old Moshi kuanzia 1982-1984. Sijaelewa
Ndugu yangu wewe usisahau kuwa mshtuko wa moyo hauhitaji uumwe hivyo unavyodhani.Mimi nauliza kwa Nini familia zao upata taarifa za vifo vya ndugu zao kupitia mitandaoni?
Ndugu wa ndungai aliyeshinda nae kutwa nzima na jioni akasafiri kwenda Dodoma anasema jamaa alikuwa poa kabisa haumwi chochote waliwasiliana mpaka jioni lakini kujua km aliumwa saa ngapi na aliumwa Nini hajui KIMSINGI hapa mwili uchunguzwe
Ili pia lilitokea kwa familia ya Hayati Magufuli kwa Nini he awa viongozi wakiumwa ndugu zao hawaitwi mpk wafe?
Moja ya viongozi wapumbavu wa awamu ya tanoHuyu jamaa amekuwa na mwisho mbaya na hakuwa MTU wa rohoni .
Mara anafukuzwa katika cheo
Anachambwa Kama mtoto
Mara anaomba msamaha
Mara anazomewa .
Usiku wa manane anaiba kura katika tug of war anatangazwa.
Pressure kisukari vinaibuka anafariki kifo cha aibu Sana .
Cursed man.
Uzuri wapesq unaweza acha familia mahari salama kuliko kwaasiekua nacho kabsaNarudia tena ! Bora ukawa mwema ,ubaya hauna faida hata moja...Ukileta tamaa hapa duniani utakufa na kuacha kila kitu ..Yaani utatolewa kwenye nyumba yako na kwenda kuzikwa ...
Zile pesa huko bank mpaka unaita wengine maskini ,hautoweza kuzitoa tena .
Kuna watu wamekufa maskini ila wana heshima mpaka leo.