MmmmMalizia...
Mkewwe anarithi mafao yote ya uspika
Anaolewa na kijana mdogo
Wanatumbua hela za marehemu
MmmmMalizia...
Mkewwe anarithi mafao yote ya uspika
Anaolewa na kijana mdogo
Wanatumbua hela za marehemu
Mpiga kura wake.Uambiwe wewe kama nani?ni mkewe au?
Babaako alikufa kifo cha kifahari. Zaidi zaidi akafa nkekifelelenge!Huyu jamaa amekuwa na mwisho mbaya na hakuwa MTU wa rohoni .
Mara anafukuzwa katika cheo
Anachambwa Kama mtoto
Mara anaomba msamaha
Mara anazomewa .
Usiku wa manane anaiba kura katika tug of war anatangazwa.
Pressure kisukari vinaibuka anafariki kifo cha aibu Sana .
Cursed man.
Naionea huruma familia ilobaki aisee.![]()
117K views · 1K reactions | Hali ilivyo Kata Ya Mlali Jimbo La Kongwa wananchi Wakisherehekea Kifo Cha Ndugai.😭 JE ni sawa kufanya hivi kwa aliyekuwa kiongozi mkubwa wa bunge na serikali? FOLLOW @walaz_tv_ #Walaztv #habari #jobndugai#rip #ccm #d
Hali ilivyo Kata Ya Mlali Jimbo La Kongwa wananchi Wakisherehekea Kifo Cha Ndugai.😭 JE ni sawa kufanya hivi kwa aliyekuwa kiongozi mkubwa wa bunge na serikali? FOLLOW @walaz_tv_ #Walaztv #habari...www.facebook.com
Sio pressure wala kisukari yule wamemtanguliza kuna interview mdogo wake anasema ofisi ya mwisho kuingia ndugai ni ofisi ya CCM kabla ya kurejea nyumbani kwake kupumzika nenda kasikilize ipo clouds fm aisee ila watu wanatamaa.Huyu jamaa amekuwa na mwisho mbaya na hakuwa MTU wa rohoni .
Mara anafukuzwa katika cheo
Anachambwa Kama mtoto
Mara anaomba msamaha
Mara anazomewa .
Usiku wa manane anaiba kura katika tug of war anatangazwa.
Pressure kisukari vinaibuka anafariki kifo cha aibu Sana .
Cursed man.
Waliambiwa wasiingize pua zao, akajimwambafy na punde LIKATOKEA LA KUTOKEAHuyu jamaa amekuwa na mwisho mbaya na hakuwa MTU wa rohoni .
Mara anafukuzwa katika cheo
Anachambwa Kama mtoto
Mara anaomba msamaha
Mara anazomewa .
Usiku wa manane anaiba kura katika tug of war anatangazwa.
Pressure kisukari vinaibuka anafariki kifo cha aibu Sana .
Cursed man.
Du Alikua anaitaka Bure au kwa pesaKuna kipindi alitaka ardhi ya kulima/mashamba sehemu, mu mama mumoja bosi akagoma, akaagiza watu wake kesi mumama akapatikana na hatia akafukuzwa ukurugenzj akatakiwa kutoa rushwa mahakamani mumama ni mlokole akamuachia Mungu akafungwa miaka 20, machozi balaa sijui kama alikata rufaa
UhakikaSi ndio uyu alipiga mgombea mwenzie 2020?
Uyu akateketee kwenye Moto wa milele
kama ni hivyo acha akachomeke kama ndafu kmmkKuna kipindi alitaka ardhi ya kulima/mashamba sehemu, mu mama mumoja bosi akagoma, akaagiza watu wake kesi mumama akapatikana na hatia akafukuzwa ukurugenzj akatakiwa kutoa rushwa mahakamani mumama ni mlokole akamuachia Mungu akafungwa miaka 20, machozi balaa sijui kama alikata rufaa
Hii dhana ya kuombeana ilianzishwa na wajanja fulani ili kujipatia fedhaSiamini ktk kuombeana.. Matendo yako ya hapa duniani na vitu gani uliacha kwa ajili ya jamii ndivyo vitakavyokubeba.
Huyu hata shetani hataki ushirika naye ...Tumuombee
Sio pressure wala kisukari yule wamemtanguliza kuna interview mdogo wake anasema ofisi ya mwisho kuingia ndugai ni ofisi ya CCM kabla ya kurejea nyumbani kwake kupumzika nenda kasikilize ipo clouds fm aisee ila watu wanatama
Pressure na kisukari Mkuu wala hakuna kingineSio pressure wala kisukari yule wamemtanguliza kuna interview mdogo wake anasema ofisi ya mwisho kuingia ndugai ni ofisi ya CCM kabla ya kurejea nyumbani kwake kupumzika nenda kasikilize ipo clouds fm aisee ila watu wanatamaa.
Hakika..Hii dhana ya kuombeana ilianzishwa na wajanja fulani ili kujipatia fedha
Hakuna cha kupita Naye. Yule alikuwa spana mkononi. Ukimwi + kisukari + tatizo la figo + pressure. Ni halali kabisa kuvuta kambaHakunag kitu kama hicho
Wamepita nae perpendicular.