TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Narudia Tena tupunguze kiburi na roho mbaya.

Cc. Samiah wa Zanzibar
 
Nothing umekufa ,familia ni jambo la kufirika ...Kila mtu ana mihangaiko yake...

Usipoacha kabisa familia ,basi haujaacha kiumbe kitakachopata tabu.
Uzuri wapesq unaweza acha familia mahari salama kuliko kwaasiekua nacho kab
 
Kwenye ukoo wenu hakuna aliyekufa?..kama yupo, alikua mwana CCM!?..watu mna chuki deep nyoyoni,pumbavu sana nyie
Huyo alikuwa chawa mtandika kitanda wa Mbowe, ndo maana unaona hakumbuki hata ndugu zake wamekufa wengi tuu.
Kila akifa mwana ccm wanajitoa ufahamu wanashangilia.
 
Wasifu hauna legislative achievements.

Vimesheheni vituko vya ku punish wabunge waliovaa vimini, kulinda COVID 19 wa CHADEMA, na kamfungia Jerry Muro na Gwajima.

Ndivyo ambavyo vimewajia vichwani waandishi wakimkumbuka Ndugai.

Viongozi hawatengenezi legacy za profession zao. Bungeni miaka 25, Spika miaka 9. Unakufa watu hawana cha kuandika.
 
HUYU SI NDIE ALIMCHAPAGA DIWANI FIMBO MBELE YA WANAWE NA MKEWE AISEE
 
Mzee kupaka hair black awe makini. Anaweza kuwa next....
 
Je alik
Hili jukwaa lipo nyuma sana, kwa maana hakuna anayejua kuwa Job amefariki?

Job ndugai amefariki dunia
Alikuwa mgonjwa? Aliumwa nini?
Lini? Mbona mnatuchanganya Huu mwaka huu, tutaona mengi sana. Uchaguzi huu tutapoteza watu tunaowafahamu sana huu
 
Huyo alikuwa chawa mtandika kitanda wa Mbowe, ndo maana unaona hakumbuki hata ndugu zake wamekufa wengi tuu.
Kila akifa mwana ccm wanajitoa ufahamu wanashangilia.
Hahaha......kwa nini hao wengine hawashangiliwi?
 
Bunge lilishavunjwa kwa Tulia siyo spika wa bunge. Inatakiwa isomeke "Aliyekuwa spika"
Wanavyopenda madaraka hao wewe acha tu. Aliyetakiwa kutangaza msiba huo ni kiongozi wa chama chake au Padre wake wa kigango 😭😭😭😭😭😭
 
Unyama ambao Ndugai alimfanyia Lissu umeusahau? Malipo ni hapa hapa, bado wawili
Wewe ambaye haujamfanyia unyama mtu yeyote ndio hautakufa wewe na lisu wako mtaishi milele?!
Kifo hakina uhusiano na ubaya wa mtu!. Ukifanya unyama utakufa na usipofanya unyama pia utakufa.
Wamekufa mitume na manabii lakini ibilisi pamoja na ushetani wake bado yupo hai hadi leo kuonyesha kwamba kifo hakina uhusiano na madhambi anayoyafanya kiumbe.
 
Wasifu hauna legislative achievements.

Vimesheheni vituko vya ku punish wabunge waliovaa vimini, kulinda COVID 19 wa CHADEMA, na kamfungia Jerry Muro na Gwajima.

Ndivyo ambavyo vimewajia vichwani waandishi wakimkumbuka Ndugai.

Viongozi hawatengenezi legacy za profession zao. Bungeni miaka 25, Spika miaka 9. Unakufa watu hawana cha kuandika.
Mimi nahurumia jimbo la Kongwa hali ni mbaya sana jamani!!.Ila jamani vifo vingine vya ajabu,kifo cha aibu,unakufa ukipigania ubunge mwaka wa 30 huku umejaa lawama kila kona.Kuna wakati alimfanyia mchungaji mmoja hila za kuingiza ujumbe kwenye sim yake ili apate kashfa ya uzinifu.Yule mchungaji alisema nitamlilia Mungu hadi huyu jamaa apate aibu ya msimu hapa Kongwa na Dunia nzima.
 
Back
Top Bottom