TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Truth be told

Marehemu alikuwa mmoja ya wanasiasa wajivuni mno walioona wapinzani kama takataka enzi hizo akivaa majoho kama Padre...

Mwisho wa siku kile kiburi, majivuni, roho mbaya vinamezwa na udongo...
 
Kuna kipindi alitaka ardhi ya kulima/mashamba sehemu, mu mama mumoja bosi akagoma, akaagiza watu wake kesi mumama akapatikana na hatia akafukuzwa ukurugenzj akatakiwa kutoa rushwa mahakamani mumama ni mlokole akamuachia Mungu akafungwa miaka 20, machozi balaa sijui kama alikata rufaa
 
So sad that's karmic debt
 
So sad that's karmic debt
Sana, tutende wema aisee yule Mama na ulokole wake aligoma kutoa rushwa mahakamani kabisa kwa sababu walimtengenezea hiyo kesi. Ndiyo maana hata Dkt Samia hivi vifo vya watakatifu anaonywa, ghazabu ya Mungu aliye hai ni kuu. Huwezi fungia kanisa uwe hai au kuagiza watu kama mdude wauawe ka inzi au Mzee Kibao auawe kwa kutobolewa macho useme kifo ni kifo tu bila hatua
 
Marehemu hasemwi ..ameumaliza mwendo!!kinachobakia kiwe tu fundisho kwa wengine kua death is real
Unachukuliwa tu faster sekunde 1 hata kama umejipigia kura na kujipitisha mwenyewe
Sasa kinachofuata kuwa fundisho Ndio kinasemwa sana! Mbona shetani, Frao, Goliath, Muhamad, Hitler, Mussolin mpaka vitabu wameandikiwa kabisa Kwa ajili ya kumbukumbu zisifutike?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…