TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kama Ndugulile tu
 
Wazee wangu Butiku na Warioba Mungu ajitahidi kuwaweka Mbali na Machawa na Wahuni wa Timu Mtandao, Nyinyi pekee ndio mliobaki kuweza kukemea Huu ukwapuaji Mkubwa wa Mali za Umma. Hili la Ndugai ikawe homework kwenu kutambua nyinyi ndio hazina/kete pekee zilizobaki.
 
Kwa mabaya aliyomtendea Lissu afe tu kwa kweli; alijua ataishi milele? Yeye na Magufuli wapo wapi sasa? Bado Bibi Chura wa Kizimkazi na Mzee wa Msoga; wakitoboa December nimekaa pale👉👉

Tunarudi kupiga goti kumlilia Mungu
 
tuishi tu kama wapita NJIA
kuna vitu utavikimbiza sana utavipata utavikusanya
lakini mwisho wa siku utaviacha vyote

hapa kwenye pichq vipande vya mti ndivyo thamani pekee alozikwa nayo MAHAMUDU BUHARI rais mstaafu wa NIGERIA

tujitahidi tuishi tukiwa tumeacha HISTORIA nzuri
no mattet wewe MUSILAM MKRISTO au MPAGANI
ishi na watu vinzuri haijarishi uamini mungu ama lah
nina imani utarest in peace vinzuri ikiwa watu ulowatendea wema watakukumbuka kwa wema wako
 
Huyu ndio alisema Lissu ni mtoro bungeni na hajui alipo huku watu wote pale bungeni walijua Lissu alikuwa akijiuguza na operation zaidi ya 20 uhamishoni tena kwa msaada wa wasamaria wema.

Sio pesa yake ya matibabu wala stahiki nyingine za kibunge zililipwa.

Tutawakumbusha hata msipotaka hatuwezi kufukia uovu alikuwa na nafasi ya kuwa na ubinadamu ila akafuata madaraka kwanza kumfurahisha Magufuli.

Magufuli akamwambia washugulikie humo ndani wakitoka nje mimi nitawashughulikia nje huku.

Haya leo nguvu na mamlaka hayo wote wawili hawana na hawapo.


View: https://youtu.be/UKdf8ecyhQs?si=2wyg-nq0N0Up4kxy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…