Job Ndugai anajisikiaje Tundu Lissu akilipwa stahiki zake?

Status
Not open for further replies.
Watanzania wepi? Maana naona una liseduce hilo neno kwa mabaya. Sema wewe na baadhi ya wenzako washabiki wa CDM, lakini sio watanzania. Watanzania hawana mawazo yoyote kuhusu Lissu. Lissu ni msaliti tu. Naye maneno yake ya kisaliti yako YouTube vile vlie.
 
Raha gani wakati nchi inaishi tena kwa mikopp? Hujui kuwa mapato yameshuka? Nchi itaendelea vipi bila kuwa na mapato ya ku finance shuhghuli zake za maendeleo?
 
Na sie wenye hela zetu NSSF mtulipe sio kuendekeza wapuuzi wa bungeni tu!
 
Kwasababu Lissu ni mwanasiasa na hili ndio jukwaa mahususi.
Mwanasiasa gani Lissu? Ni domo tu. Hajui siasa wala sheria. Amejaribu kila njia kumharibia Magufuli jitihada zake za kuleta maendeleo nchini mpaka ameshindwa. Jamaa alijulikana ulimwengu mzima na kaacha legacy. Lissu ameacha legacy gani? Hakuna mtu hata mmoja anamkumbuka na atamkumbuka Lissu. Kwa lipi? Lakini Magufuli anajjulikana ulimwenguni kuwa ni mmoja wa maRais bora Afrika aliyewahi kupigania haki za wananchi wake zidi ya mabeberu na akashinda.

Magufuli ni mwamba na ni baba lao. Kila neno na kila sentensi aliyoitoa ulimwengu uliichambua. Nani alichambua porojo za Lissu? Labda mashabiki wake kama wewe.
 
Iwe habari fake au halisi.
Tundu Lissu anastahili kulipwa haki zake.
Acheni Roho Mbaya kama Baba yenu Ibirisi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…