Serikali ilipaswa tengeneza ajira ambazo mtu akistaafu anakuwa na uhakika wa kuendelea kuishi.Duuh yaani umeongea kitu kinafikilisha sana [emoji106][emoji106][emoji119]
Yale yale tu. Umetumia lugha kuiremba kazi hiyoBodaboda sio laana lakini ni kazi ya kipuuzi, haina future yoyote
Swala sio kukwepeka, je kazi hiyo na afya zao ni sawa?Tulipofikia, Bodaboda hawakwepeki.
Kivipi?Unafiq unamsumbua Sana huyo mzee
Wewe ni mpumbavuRisk imetuzunguka kila mahali, hata ukipanda balloon kwenda kazini kwako bado upo kwenye risk ya ajali tu, no safe zone, hata unaweza unatembea kwa miguu ajali ikakufuata hapo ulipo,
KAZI NI KAZI.
Kwanza mtu akikuita mnyonge ameshakudharau.Mkuu una akili sn
Mzee Jobu si ni wewe uliesema NCHI HII ITAPIGWA MNADA ?Kijana anza kufanya biashara halali, kazi ni kazi, achaneni na yule anayesema watu wamelaaniwa labda amelaaniwa yeye, yule anayesema vijana wa Bodaboda wamelaaniwa, sasa ule si wenzawazimu tu
Wenye Ajira za mchongo hawatoi neno hapoKwanza mtu akikuita mnyonge ameshakudharau.
Serikali itengeneze ajira au mazingira ya ajira zenye maana na sio
Machinga
Bodaboda
Mama Ntilie
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Wewe binafsi future unaitafsili vip?Bodaboda sio laana lakini ni kazi ya kipuuzi, haina future yoyote
Saf Sana ndugu kazi ni kazi. Na risk zipo mahali popote PA kaziRisk imetuzunguka kila mahali, hata ukipanda balloon kwenda kazini kwako bado upo kwenye risk ya ajali tu, no safe zone, hata unaweza unatembea kwa miguu ajali ikakufuata hapo ulipo,
KAZI NI KAZI.
ALIGHAFILIKA KAMA BINADAMU NA CHAMA KIMEKWISHA MSAMEHE NA KIMEKWISHA YASAHAU YALIYOPITA, MKIAMUA KUYAHIFADHI MAKITU YALIYOKWISHA MUDA WAKE HAYO NI YA KWENU,KWA SASA CCM NI MOJA NA INAKWENDA MBELE NA RAIS WETU NI DR. SSH 2025-2030.Mzee Jobu si ni wewe uliesema NCHI HII ITAPIGWA MNADA ?
Naona sasa umekuja na issue ya uwendawazimu maana ulisema pia watu wapitie Milembe kwanza kabla ya kugombea kwenye Majimbo yao, bado unakazia palepale watu wakapimwe akili ?
Huyo dogo kichwani amejaza upepo ndio maana sikumjibu kwa tusi, ni mpuuzi sana.Saf Sana ndugu kazi ni kazi. Na risk zipo mahali popote PA kazi
Ukigongana na gari mwenye gari anatoka mzima wewe unaenda kukata mguu moi.Risk imetuzunguka kila mahali, hata ukipanda balloon kwenda kazini kwako bado upo kwenye risk ya ajali tu, no safe zone, hata unaweza unatembea kwa miguu ajali ikakufuata hapo ulipo,
KAZI NI KAZI.
Hakuna mahali alisema vijana wa bodaboda wamelaaniwa bali alisema kazi ya bodaboda ni laana,mana haina matumaini na nikazi inayoumiza vijana wengi,job aache unafiki akae kutulia mana ametengeneza taifa la hovyo.
Duuh kweli kabisa..Serikali ilipaswa tengeneza ajira ambazo mtu akistaafu anakuwa na uhakika wa kuendelea kuishi.
Hawa boda boda ni daraja la wanasiasa, hakuna atayefikisha miaka 61 na hiyo kazi.
Hakuna atayekuwa na uhakika wa kuendelea ishi endapo atapata ulemavu
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ni Kweli.Ukigongana na gari mwenye gari anatoka mzima wewe unaenda kukata mguu moi.