CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Spika Mstaafu wa Bunge, Job Ndugai amewataka Watanzania kuacha tabia kutothamini mafanikio au juhudi za watu mbalimbali wanazozionesha katika taifa hasa katika sekta ya biashara, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mgahawa wa Chakula katika Taarafa ya Pandambili Iliyopo njia Kuu ya Kutoka Dodoma Owenya Morogoro.
Amesema "Kijana anza kufanya biashara halali, kazi ni kazi, achaneni na yule anayesema watu wamelaaniwa labda amelaaniwa yeye, yule anayesema vijana wa Bodaboda wamelaaniwa, sasa ule si wenzawazimu tu."
Chanzo: GlobalTV
Hii ndiyo tafsiri kuwa tumepata kuwahi kuwa na Spika mpumbavu kama taifa.
Spika Mstaafu wa Bunge, Job Ndugai amewataka Watanzania kuacha tabia kutothamini mafanikio au juhudi za watu mbalimbali wanazozionesha katika taifa hasa katika sekta ya biashara, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mgahawa wa Chakula katika Taarafa ya Pandambili Iliyopo njia Kuu ya Kutoka Dodoma Owenya Morogoro.
Amesema "Kijana anza kufanya biashara halali, kazi ni kazi, achaneni na yule anayesema watu wamelaaniwa labda amelaaniwa yeye, yule anayesema vijana wa Bodaboda wamelaaniwa, sasa ule si wenzawazimu tu."
Chanzo: GlobalTV
Ni kweli kabisa

Kama wafanya kazi mazingira magumu kwa afya yako, kazi ambayo hauna uhakika wa kurudi nyumbani, kazi ambayo huna uhakika wa matibabu na wanasiasa wako upande wako, jua kabisa wewe ni daraja
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Nilitegemea wao ndio wawe wa kwanza kupinga wanasiasa kuwatumia kujinufaisha, ila wao ndo wamekuwa mstari wa mbele kujipendekeza kwa wanasiasaBODABODA wote huu hapa ujumbe wenu, muwakatae hadharani wanasiasa ai a hii ya kina Ndugai
Kazi nyingi tu hao watoto wavigogo hawafanyi hata umachinga, uuguzi , ulinzi mbona mumekomaa na Bodaboda?Hata mimi naungana na Lema, kazi ya Bodaboda sio ya staha (descent). Ni vile tu kijana anamaliza chuo hana mishe ya kufanya anaingia kwenye shughuli ya Bodaboda. Halafu mbona hatuwaoni watoto wa vigogo wakifanya shughuli za Bodaboda, walau hata mtoto wa DC.
Ndugai ni mstaafu?....
Spika Mstaafu wa Bunge, Job Ndugai amewataka Watanzania kuacha tabia kutothamini mafanikio au juhudi za watu mbalimbali wanazozionesha katika taifa hasa katika sekta ya biashara, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mgahawa wa Chakula katika Taarafa ya Pandambili Iliyopo njia Kuu ya Kutoka Dodoma Owenya Morogoro.
Amesema "Kijana anza kufanya biashara halali, kazi ni kazi, achaneni na yule anayesema watu wamelaaniwa labda amelaaniwa yeye, yule anayesema vijana wa Bodaboda wamelaaniwa, sasa ule si wenzawazimu tu."
Chanzo: GlobalTV
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alisema tutauzwa huyu kwa mnada tulipe madeni , na imebaki kidogo tu
Yeye pia amelaanika kwa kulitumia Bunge kufanikisha mambo yake binafsi.
Spika Mstaafu wa Bunge, Job Ndugai amewataka Watanzania kuacha tabia kutothamini mafanikio au juhudi za watu mbalimbali wanazozionesha katika taifa hasa katika sekta ya biashara, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mgahawa wa Chakula katika Taarafa ya Pandambili Iliyopo njia Kuu ya Kutoka Dodoma Owenya Morogoro.
Amesema "Kijana anza kufanya biashara halali, kazi ni kazi, achaneni na yule anayesema watu wamelaaniwa labda amelaaniwa yeye, yule anayesema vijana wa Bodaboda wamelaaniwa, sasa ule si wenzawazimu tu."
Chanzo: GlobalTV
kamwambie yeye na mke wake waendeshe bodaboda wasihadae wadogo zetu.Unafiki unamsumbua Sana huyo mzee