Job Ndugai: Anayesema vijana wa Bodaboda wamelaaniwa labda amelaaniwa yeye

Ndugai ni mpumbavu kama nguruwe wa uvccm.
 
Tulipofikia, Bodaboda hawakwepeki.
Wanakwepeka kabisa tatizo wabongo wengi hatupendi kufikiri,hasa walio katika maamuzi ni upuuzi tu.

Kumkooesha kijana wa mbeya Bajaj(8,000000)!! kwanini usimshawishi aipeleke hiyo pesa shamba?
 
Kuna mtu alisema bodaboda wamelaaniwa?
 
Lini uliwahi kusema kuwa lema hajapoteza reality.
 
Sijui kwa nini Watu hawataki kuelewa kama ulivyoelewa wewe!
 
Ndugai, wewe mwenyewe ulishalaanika kwa mpango wako ovu mliokuwa mmepanga kumuhujumu Mama SSH baada ya kifo cha mwendazake. Tunaona wazi namna laana ile inavyokutafuna taratibu!
 
Jobu Ndugai mgogo halisi! Anaakili njema kuliko Lema

Lema wa kabla ya kupanda pipa kwenda ughaibuni, alikuwa mtu sahihi! Sielewi huyu aliyerudi, sijui kimerudi kimvuli Chake na Lema halisi kubaki huko Canada!! 🤗
Kama ndugui ana akili japo nusu ya Lema basi neno akili lifutwe katika kamusi ya kiswahili!
 
Huyu nae ni mpuuzi tu. Uuze mama ntilie, uje umiriki hotel? Inawezekana USA sio Bongo hii. Mama ntilie wote walifukuzwa mitaa ya uzunguni, Masaki, Oysterbay, nk. Yaani ufanye biashara ya chakula cha bukheri, hasufu uje umiriki hotel ya milioni 100! Sema kama unauza madawa ya kulevya.

Kama hizo kazi ni za maana, watoto wao mbona wamengangamia serikalini, kwenye mashirika ya umma. Huyu kenge mke wake ni mkurugenzi wa halmashauri. Bodaboda, mama ntilie, wauza mahindi ya kuchoma, nk, ni kazi zenye laana. Hazina tofauti na madangulo, ni kazi za mateso, shida, ni ufukara uliopitiliza. Wananchi wanafanya kwa vile hakuna fulsa zingine za kufanya mkono uende kinywani. Wabunge wangapi wanaenda kula kwa mama ntilie wa Chadulu, Chang'ombe, kwenye supu ya jero jero?
 

Aache upotoshaji, Lema alisema kazi ya boda boda imegeuka kuwa laana. Aliongelea kazi sio waendesha bodaboda.
 
Heee ameibuka
 
Swala sio kukwepeka, je kazi hiyo na afya zao ni sawa?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Suala la afya ni sawa lakini Wataalamu wanaweza kutoa tathmini Waendesha Bodaboda wanatakiwa wachukuaje tahazari. Wapewe Km wanazotakiwa kutembea kwa siku ? Jambo ambalo linafikirisha utekelezaji wake.
Serikali ilichelewa kutoa muongozo mapema juu ya hizo vitu. Na sasa sioni mbadala wa bodaboda, imechukua vijana wengi sana ambao kama zisingekuwepo boda kitaa kungekuwa na makundi kibaa ya Panya Rodi na Panya Kalowa.
 
Yote hayo ni kutowajibika kwa wazazi, serikali katika kuwekeza katika elimu bora, viwanda na ajira

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kama wafanya kazi mazingira magumu kwa afya yako, kazi ambayo hauna uhakika wa kurudi nyumbani, kazi ambayo huna uhakika wa matibabu na wanasiasa wako upande wako, jua kabisa wewe ni daraja

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kwa iyo mnamaanisha machinga,bodaboda na sisi wakulima wote tumelaniwa ee huu ndo msimamo wa CHADEMA kwa wananchi wasio na ajira rasmi TUMELANIWA Maana yake tunalaana.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Ivyo basi CHADEMA hawataki kura za watu waliolaaniwa mjue ivo
 
Hakuna mahali alisema vijana wa bodaboda wamelaaniwa bali alisema kazi ya bodaboda ni laana,mana haina matumaini na nikazi inayoumiza vijana wengi,job aache unafiki akae kutulia mana ametengeneza taifa la hovyo.
Kazi yenye laana hufanywa na waliolaaniwa au mi sijaelewa. Kwa kazi Nini mtueleweshe watu wa ufipa maana mko very smart tumboni
 
Kubalini tu mmetutukana utatenganisha vp kazi na mtu tuambieni Sasa kazi iliyobarikiwa ni ipi au kuwa Nyumbu wa Mboowe
 
Ipi kazi isio na laana sasa
 
Mgonjwa huuguzwa nivema mgonjwa wetu ubakie kwenye kuuguzwa mengine hayakuhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…