Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Acha ujinga shika adabu yako.Rais mwenyewe jinga tupu unafikiri hata hiyo brain ya kuwachambua ma brains ataitoa wapi.
Mruma ni kichwa haswa,si kilaza .Sasa mimi ninaona sio wazalendo tu.Wanachojali ni wanalipwa per diem zao.Mfano kuna swali kabisa alijibu kweli serikali ilijua inaingia mikataba ya hovyo,ila walikubali ili kuvutia wawekezaji.Kwa hiyo Prof Mruma alipata makarai?
Mgogo mnafiki tu hana lolote la maana.Mgogo ameamua kuwe na vita tu.
Hawa watu wakiwa nje ya mifumo huwa na akili sana. Sijui shida huwa nini wanapokuwa kwenye madaraka.
Acha aendelee tujue panapo vuja.
Hapana. Tuweke mfumo wa ushauri wa wataalamu kuwa binding kwa wanasiasa.Mruma ni kichwa haswa,si kilaza .Sasa mimi ninaona sio wazalendo tu.Wanachojali ni wanalipwa per diem zao.Mfano kuna swali kabisa alijibu kweli serikali ilijua inaingia mikataba ya hovyo,ila walikubali ili kuvutia wawekezaji.
Mruma ni kichwa haswa,si kilaza .Sasa mimi ninaona sio wazalendo tu.Wanachojali ni wanalipwa per diem zao.Mfano kuna swali kabisa alijibu kweli serikali ilijua inaingia mikataba ya hovyo,ila walikubali ili kuvutia wawekezaji.
Ipo Siku nchi itapigwa mnada - Ndugai"....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani"
-Kaveli-
Iyo toka spikaAmesema lini haya!
Sio kwenye kesi.Rushwa inakuwepo pale kwenye Tender,kwenye kuipa Kampuni leseni.Ndo maana wanakubali madudu.Kumbuka kwa mfano Leseni ya hawa ilitolewa enzi ya Kikwete, Enzi Muhongo ndo waziri, na huyu Mruma alikuwa GST, na pia kwenye jopo la kutoa leseni.Sasa huyo huyo akawepo kwenye jopo la kufuta leseni enzi ya Magufuli. Yaani ni ushuzi mtupu.Inabore mpaka basi.Na yawezekana pia wanakuwa compromised.
Rushwa hutia upofu wa macho na akili.
-Kaveli-
Vya mama yako??Wazanzibari 95% vyeti si vyao.
Wewe mvaa dera wakiuza nini hebu kiseme vileHawa wavaa kanzu wanauza nchi haswa
Hujuwi unachokiandika wewe. Soma hii:Pokea darsa kwanza. Acknowledge.
-Kaveli-
mumeoWewe mvaa dera wakiuza nini hebu kiseme vile
Haya majangili yanachezea nchi haswaSio kwenye kesi.Rushwa inakuwepo pale kwenye Tender,kwenye kuipa Kampuni leseni.Ndo maana wanakubali madudu.Kumbuka kwa mfano Leseni ya hawa ilitolewa enzi ya Kikwete, Enzi Muhongo ndo waziri, na huyu Mruma alikuwa GST, na pia kwenye jopo la kutoa leseni.Sasa huyo huyo akawepo kwenye jopo la kufuta leseni enzi ya Magufuli. Yaani ni ushuzi mtupu.Inabore mpaka basi.
Dah!! Jamaa alitabiri nchi inaweza kupigwa mnada ............. na utabiri unataka kutimia kwa kasi ya ajabu mbele ya macho yake!! Inatia huruma mtu mzima kama Mzee Wasira anatetea uozo ili maadam akumbukwe maana njaa si njaa hiyo!!"....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani"
-Kaveli-