Job Ndugai: Kwenye negotiations lazima upeleke 'brains' zako, first class thinkers. Form four (Makarai matupu) ataenda kunegotiate nini?

Job Ndugai: Kwenye negotiations lazima upeleke 'brains' zako, first class thinkers. Form four (Makarai matupu) ataenda kunegotiate nini?

Mruma ni kichwa haswa,si kilaza .Sasa mimi ninaona sio wazalendo tu.Wanachojali ni wanalipwa per diem zao.Mfano kuna swali kabisa alijibu kweli serikali ilijua inaingia mikataba ya hovyo,ila walikubali ili kuvutia wawekezaji.

Na yawezekana pia wanakuwa compromised.

Rushwa hutia upofu wa macho na akili.

-Kaveli-
 
Yeye mwenyewe alipata ngapi? Tuanzie kwanza hapo...
Maana alianzia diploma kabla ya degree?
...ndugai ni hovyo kabisa!!

Jadili hoja yake... Je ina mashiko kwa ustawi wa nchi yetu?

-Kaveli-
 
Na yawezekana pia wanakuwa compromised.

Rushwa hutia upofu wa macho na akili.

-Kaveli-
Sio kwenye kesi.Rushwa inakuwepo pale kwenye Tender,kwenye kuipa Kampuni leseni.Ndo maana wanakubali madudu.Kumbuka kwa mfano Leseni ya hawa ilitolewa enzi ya Kikwete, Enzi Muhongo ndo waziri, na huyu Mruma alikuwa GST, na pia kwenye jopo la kutoa leseni.Sasa huyo huyo akawepo kwenye jopo la kufuta leseni enzi ya Magufuli. Yaani ni ushuzi mtupu.Inabore mpaka basi.
 
Pokea darsa kwanza. Acknowledge.

-Kaveli-
Hujuwi unachokiandika wewe. Soma hii:

Sio kwenye kesi.Rushwa inakuwepo pale kwenye Tender,kwenye kuipa Kampuni leseni.Ndo maana wanakubali madudu.Kumbuka kwa mfano Leseni ya hawa ilitolewa enzi ya Kikwete, Enzi Muhongo ndo waziri, na huyu Mruma alikuwa GST, na pia kwenye jopo la kutoa leseni.Sasa huyo huyo akawepo kwenye jopo la kufuta leseni enzi ya Magufuli. Yaani ni ushuzi mtupu.Inabore mpaka basi.
Haya majangili yanachezea nchi haswa
 
"....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani"

-Kaveli-
Dah!! Jamaa alitabiri nchi inaweza kupigwa mnada ............. na utabiri unataka kutimia kwa kasi ya ajabu mbele ya macho yake!! Inatia huruma mtu mzima kama Mzee Wasira anatetea uozo ili maadam akumbukwe maana njaa si njaa hiyo!!
 
Mgogo ameamua kuwe na vita tu.

Hawa watu wakiwa nje ya mifumo huwa na akili sana. Sijui shida huwa nini wanapokuwa kwenye madaraka.

Acha aendelee tujue panapo vuja.

Hayo maoni yake aliyatoa akiwa bado yuko ndani ya mfumo.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom