sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Umri ukishaenda wanakuwaga hivyo.Dah!! Jamaa alitabiri nchi inaweza kupigwa mnada ............. na utabiri unataka kutimia kwa kasi ya ajabu mbele ya macho yake!! Inatia huruma mtu mzima kama Mzee Wasira anatetea uozo ili maadam akumbukwe maana njaa si njaa hiyo!!