Job Ndugai: Kwenye negotiations lazima upeleke 'brains' zako, first class thinkers. Form four (Makarai matupu) ataenda kunegotiate nini?

Job Ndugai: Kwenye negotiations lazima upeleke 'brains' zako, first class thinkers. Form four (Makarai matupu) ataenda kunegotiate nini?

Dah!! Jamaa alitabiri nchi inaweza kupigwa mnada ............. na utabiri unataka kutimia kwa kasi ya ajabu mbele ya macho yake!! Inatia huruma mtu mzima kama Mzee Wasira anatetea uozo ili maadam akumbukwe maana njaa si njaa hiyo!!
Umri ukishaenda wanakuwaga hivyo.
 
Ameongea kweli tupu , sema ccm huu ukweli wataugeuza kuwa uadui, ukitaka kukosana na ccm waambie ukweli watakubatiza majina yote mabaya mabaya!!
 
Hapa naunga mkono hoja ila Kuna Cha zaidi ya grade za class. Mi nimeishi na demu wa kizungu bongo kidogo tuoane nikaingia mitini na baadae nikaishi uzunguni miaka mingi and this means mzungu namuona kama ninavyomuona bibi yangu wa mpitimbi au nangwanda sijaona! Na wao wananiona hivyo hivyo kama mwenzao maana Sina uswahili Wala Sina kale kauoga ka kuogopa ngozi nyeupe!

Iko hivi, Ili unegotiate na mtu mweupe yoyote vizuri ni lazima uwe umeishi nao kitu ambacho hukufanya uwaone wa kawaida tu na wao wakijua umeishi nao unawajua wanakuwa fair!

Grade za shule A tupu haitoshi kukaa mezani na mtu mweupe na ukajenga hoja na kueleweka maana bila exposure ya kuishi nao na kuwa do madem zao huwa kuna kale ka inferiority complex huwa hakamtoki mtu mweusi!! Akiona ngozi nyeupe anafyata mkia kumbe wa kawaida tu wale watu na ni wajanja sana.

Ndugai sidhani kama kaishi na watu weupe, tukumbuke kusoma kwa watu weupe na kurudi bongo Huwa hujajua tabia za watu weupe!! Lazima uishi nao Mtaani na kula madem zao. Diaspora wa ulaya watanisoma zaidi! Wabongo wachache wataelewa!

Uzunguni tunasema 'i am starving' Sasa bongo Juma na Roza , Mr and Mr Daudi na Mtoto wao Baraka tunasema ' I am hungry'!
Uzunguni tunasema ' I am broke' bongo Mr and Mrs Daudi wanasema ' I don't have money'

Sasa tutaelewanaje na DPW na mikataba yao wakati kuna lugha gongana!

In short anaeweza kunegotiate na mtu mweupe ni mtu mweusi wa Diaspora!
 
Ndugai na wahuni wenzake tumeshawastukia mapema. Tulikuwa tunajifanya kama hatuelewi vile.

Yanajulikana majina kma 300 , tunafahamu huko watu washapanga mpaka Rais, Makamo wake, Waziri Mkuu na cabinet nzima na mpaka makatibu wakuu. KKKT nao wameahidiwa nafasi nyeti. Waislam watatu katika watu 300.

Katika mpango wao eti Rais atawekwa Muislam boya Bashiru. Ili Waislam wanyamaze.

Tutakoma ubishi.
Wee kigagula! hamna namna tena ya kuzima moto kwa kupuliza! Ni wa gas huu! Chutama umepuliza gagulo umebaki uchi.
Tunajua kuwa mamako kapata Mchepuko uarabuni na juzi kachepuka kachukua usafiri wa kodi zetu na kuacha gheto wazi bila taarifa!
Jiandae ukawe na baba wa kambo arabuni! Utafurahi sana!
 
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Kwamba Tz inapata 0% ya faida??!!

-Kaveli-
 
Watanzania hawajaridhika na uwekezaji wa bandari, serikali isione aibu kuachana nao​

Waachane nao kabisa? au Mkataba urekebishwe uwe na tija kwa Tanzania?

-Kaveli-
 
Wee kigagula! hamna namna tena ya kuzima moto kwa kupuliza! Ni wa gas huu! Chutama umepuliza gagulo umebaki uchi.
Tunajua kuwa mamako kapata Mchepuko uarabuni na juzi kachepuka kachukua usafiri wa kodi zetu na kuacha gheto wazi bila taarifa!
Jiandae ukawe na baba wa kambo arabuni! Utafurahi sana!

Mkuu, kwamba huu moto hautazimika kizembe?

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom