Job Ndugai ndani ya Western Wall of Jerusalemu

Kuna anko wangu mmoja don tena sasa ashastaafu alinyanyaswa sana na boss wake kwenye shirika moja kubwa tuu. Aseee anko alifunga safari hadi kwenye huo ukuta aliandika kikaratasi cha maombi ambacho baadae hujusanywa na marabi ili viombewe na maombi ya walioviandika yatimie. Asee alivyoandika juu ya boss wake akarudi maombi anasema yalitimia mule mule bila kupinda.
Jobo nae anaweza kuwa kaandika kitu jamani
 
atubu kwanza ya Lisu na Assad ndio itajibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…