Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huyu jamaa haoni noma kwa kujifunza nchi za wengine jinsi zilivyo na demokrasia wakati yeye na kayafa yule walikanfamiza demokrasia ndani ya na nje ya bunge. Huyu jamaa Hana akili kabisa anapoenda jerusalemu haini hata noma kwamba yeye ni mweupe kichwani
Atuoneshe mahali alipokutana na jamaa na mkewe.
Kuna kitu jamaa alikiita Secret terrorists,Vatican is among.Yani umeongea kitu ambacho ni obvious. Ni ujinga
North Korea, Iran, Venezuela, China, etc wanaomba Urais Vatican
Kuna anko wangu mmoja don tena sasa ashastaafu alinyanyaswa sana na boss wake kwenye shirika moja kubwa tuu. Aseee anko alifunga safari hadi kwenye huo ukuta aliandika kikaratasi cha maombi ambacho baadae hujusanywa na marabi ili viombewe na maombi ya walioviandika yatimie. Asee alivyoandika juu ya boss wake akarudi maombi anasema yalitimia mule mule bila kupinda.
Jobo nae anaweza kuwa kaandika kitu jamani
Naam, ndio huku mkuu,Huku ndio kule alikutanaga na Yesu na mke wake?[emoji3]
Aombe msamaha kwa aliyo mtendea Lissu.Mungu ni mwema wakati wote
Huo unaitwa ukuta wa maombolezo ,Wayahudi huwa wanaenda kuomba hao,baada ya kubomolewa kwa hekalu kuu na jeshi la Warumi,ukuta huo ulibaki hapo na Wayahudi ndio huutumia kwa maombiKwani hapo ni kwa wakiristo au Wayahudi
Kuna majambo huwa sielewi.
Mkuu Diblo Dibala ndio yule mwenye nywele za kupaka kiwi?Yaani wabunge wengine wako kazini kikaocha bajeti yeye anazurula huko Kaperenaum?
Yaani pesa za walipa kodi anatumbua tuu? Au kwa vile kasikia dada yake naye alikuwa Oman kwa wajomba zake?
Ngoja tusikie naye Diblo dibala anaweza kwenda Cabo Delgado kwa shangazi zake walio kimbia wakati ule kuogopa kipigo cha jiwe
Thubutuuuu...Hapo inaaminika hata ukiomba uraisi unapata ...
Kumbe ndo huko alikomuona Yesu akitembea na mkewe miaka hiyo?
AaaahAtubie makosa yake aliyowatendea watza