Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipoelewa maana huwezi elewa.Yani umeongea kitu ambacho ni obvious. Ni ujinga
North Korea, Iran, Venezuela, China, etc wanaomba Urais Vatican
Waombee pia wagombea wote wawili maana wote Kwa pamoja Giza linawafuata.
Mungu awabariki ndugu zetu wamalize uchaguzi salama.
Bunge la nn wakati yeye anapewa masurufu ambayo ni 80% ya anayoyapata Tulia??Ina maana hata Vikao vya Bunge vinavyoendelea Dodoma yeye hana habari?
Jamaaa akilala anaona malue lue. Madhambi aliyotenda ayatubu hapa hapa huko kwa Wayahudi anaenda kujifurahisha tu
Anayemuabudu siku zoteSijui ameenda kumwabudu Mu gu yupi?
Huku akishirikiana na wenzake kuzuia hata asiombewe, yeye kaenda kuombewa kwa wayahudi.Hatuhukumu. Ila huyu jamaa anaroho mbaya sana. Amewahi kumdhurumu TL mafiao yake na kumnyima PESA ya matibabu
Aaah hatariiiHawa watu wakipataga matatizo ndiyo hujifanya kujipeleka karibu na Mungu huku nyuma kizani wanatenda uovu wa kutisha.
Acha wivu wa kikeEeeeenHeeeee!
Niliposoma kichwa cha habari ya mada yako nikadhani ni utani!
Lakini sasa nimeiona picha. Hii haiwezi kuwa ya 'photoshop'!
Nchi hii tuna waigizaji kwelikweli.
Huyu bwana kavuna bila jasho miaka yake yote ya ubunge na uspika, huku uwezo wa kufanya lolote la maana akiwa hana.
Sasa anafaidi matunda aliyopewa na CCM.