Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
unafikiri atamuandika nani aadhibiwe na ule ukuta?Kuna anko wangu mmoja don tena sasa ashastaafu alinyanyaswa sana na boss wake kwenye shirika moja kubwa tuu. Aseee anko alifunga safari hadi kwenye huo ukuta aliandika kikaratasi cha maombi ambacho baadae hujusanywa na marabi ili viombewe na maombi ya walioviandika yatimie. Asee alivyoandika juu ya boss wake akarudi maombi anasema yalitimia mule mule bila kupinda.
Jobo nae anaweza kuwa kaandika kitu jamani