Job Ndugai: Sijawahi kumjulia hali Tundu Lissu kwani ananiona kama shetani | Mbowe asikimbilie Urais kuficha aibu ya kushindwa Ubunge

Akimbana sana Jamaa ataishia tu kusema nilitoka familia Maskini saana,nilitembea Km 8 kwenda Shule na nilishinda njaa sana mimi.
Na bado ameliacha Jimbo lake likiwa masikini zaidi. Uongozi wa kibabe dhidi ya wenzake huku akisahau majukumu yake ya uwakilishi
 
Ni kweli kabisa Mbowe akigombea ubunge ataaibika vbya Bora ajifiche huko huko kwenye urais
Kushindwa ubunge ni kuaibika? Si atabaki kuwa Mwenyekiti wa chama chake? Na hata yanayofanyika yanampa kisingizio kizuri cha kushindwa kwake. Mkurugenzi gani atakuwa na ubavu wa kumtangaza kuwa mshindi baada ya kupaniwa hivi?

Amandla...
 
Naona mkuu ulitaka huyo ndugai aongee yale yanayofurahisha nafsi yako hilo ni tatizo jipime.
 
Naona mkuu ulitaka huyo ndugai aongee yale yanayofurahisha nafsi yako hilo ni tatizo jipime.
Kuanzia pararaph ya tatu haya maneno sijayaandika mimi uenda mam mods wame-edit baada ya kuuna thread yangu na hii.
Naona mods wameamua kunilisha maneno
 
Na shetani kweli
 
"Natazama 360 Clouds naona Hassan Ngoma anambana Spika"

Kuna Spika?????....Bunge Si limevunjwa hivyo huyo ni Bwana Job Ndugai tu.
 
Kwa nini anatumia Neno SPIKA/SPEAKER wakati bunge limevunjwa
Aende jimboni mwake kulima mahindi asisumbue watu
India hakuendeki siku hizi endelea kutoa maneno machafu na dharau zako

Upinzani hasa Chadema muwe mnasikiliza ushauri kila ukifika uchaguzi huwa mnajikoroga na maamuzi ya ovyo
Mnandekeza mapendo kwenye mambo ya msingi
Msiposikia watu wanasema nini basi huu uchaguzi utakuwa lala salama
Fanyeni maamuzi magumu
 
Reactions: rr4
Ndugua kweli ni shetani. Alipotapa taarifa kuwa mbowe kaumia alienda hospitali kama kutafta umbea. Akafika mbungeni kaongea umbea aliokuwa anatafta.
 

Maamuzi yapi magumu ndugu?
 
Virus vinavyoshambulia kinga za mwili naona vimefika kwenye ubongo na kuuozesha!
 
Hii interview ya clouds imeenda shule sio kama za tbc. Jamaa wanajitahidi kuchimba maswali.
 
Naungana na Lissu kukazia ushetani wa Ndugai,....hakumtendea vyema bin adamu mwenzie.
 
CCM hawa watu wa ovyo hivi sijui wanawatoaga wapi hawajui hata kujieleza alafu ndio wanatuburuza ovyo ovyo tuibieni kura lakini tuwekeeni hata watu wanaojitambua basi wenye ukomavu wa akili sio mbumbumbu kama hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…