Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale ambapo umebarikiwa kichwa kikubwa,na umepewa ubongo wa mende.
Na bado ameliacha Jimbo lake likiwa masikini zaidi. Uongozi wa kibabe dhidi ya wenzake huku akisahau majukumu yake ya uwakilishiAkimbana sana Jamaa ataishia tu kusema nilitoka familia Maskini saana,nilitembea Km 8 kwenda Shule na nilishinda njaa sana mimi.
Kushindwa ubunge ni kuaibika? Si atabaki kuwa Mwenyekiti wa chama chake? Na hata yanayofanyika yanampa kisingizio kizuri cha kushindwa kwake. Mkurugenzi gani atakuwa na ubavu wa kumtangaza kuwa mshindi baada ya kupaniwa hivi?Ni kweli kabisa Mbowe akigombea ubunge ataaibika vbya Bora ajifiche huko huko kwenye urais
Naona mkuu ulitaka huyo ndugai aongee yale yanayofurahisha nafsi yako hilo ni tatizo jipime.Natazama 360 Clouds naona Hassan Ngoma anambana Spika maswali mpaka anajichanganya kuhusu suala la Mbowe.
Kuhusu sheria ya habari analalamika lalamika tu kuwa wapinzani wanapendelewa na mitandao ya kijamii na waandishi wa habari.
Job Ndugai amesema toka Tundu Lissu apate lile tukio la kupigwa risasi hakuwahi kumpigia simu yeye binafsi ya kumjulia hali kwani anajua Tundu Lissu anamuona Ndugai kama shetani. Hivyo Job Ndugai haoni sababu ya kumpigia simu mtu anayemuona yeye ni shetani.
Sambamba na hilo,pia Ndugai amemtaka Mbowe aache kukimbilia kwenye urais kama kichaka cha kukwepa aibu ya kushindwa vibaya kwenye ubunge. Ndugai anaamini kuwa Mbowe amekimbilia kwenye urais baada ya kuona ubunge hawezi kushinda.
Sidhani Kama walisoma pamoja darasaniMbowe atuambie alimfanya nini Ndugai pale Kibaha sec?!
Kuanzia pararaph ya tatu haya maneno sijayaandika mimi uenda mam mods wame-edit baada ya kuuna thread yangu na hii.Naona mkuu ulitaka huyo ndugai aongee yale yanayofurahisha nafsi yako hilo ni tatizo jipime.
haya tumekusikia baamedi wa mboweMbowe hakushambuliwa ila alilewa akaanguka na kuteguka mguu
Na shetani kweliNatazama 360 Clouds naona Hassan Ngoma anambana Spika maswali mpaka anajichanganya kuhusu suala la Mbowe.
Kuhusu sheria ya habari analalamika lalamika tu kuwa wapinzani wanapendelewa na mitandao ya kijamii na waandishi wa habari.
Job Ndugai amesema toka Tundu Lissu apate lile tukio la kupigwa risasi hakuwahi kumpigia simu yeye binafsi ya kumjulia hali kwani anajua Tundu Lissu anamuona Ndugai kama shetani. Hivyo Job Ndugai haoni sababu ya kumpigia simu mtu anayemuona yeye ni shetani.
Sambamba na hilo,pia Ndugai amemtaka Mbowe aache kukimbilia kwenye urais kama kichaka cha kukwepa aibu ya kushindwa vibaya kwenye ubunge. Ndugai anaamini kuwa Mbowe amekimbilia kwenye urais baada ya kuona ubunge hawezi kushinda.
Anachokisema ni upumbavu lakini bado mnamsikiliza acheni unafiki
Kwa nini anatumia Neno SPIKA/SPEAKER wakati bunge limevunjwa
Aende jimboni mwake kulima mahindi asisumbue watu
India hakuendeki siku hizi endelea kutoa maneno machafu na dharau zako
Upinzani hasa Chadema muwe mnasikiliza ushauri kila ukifika uchaguzi huwa mnajikoroga na maamuzi ya ovyo
Mnandekeza mapendo kwenye mambo ya msingi
Msiposikia watu wanasema nini basi huu uchaguzi utakuwa lala salama
Fanyeni maamuzi magumu
Naungana na Lissu kukazia ushetani wa Ndugai,....hakumtendea vyema bin adamu mwenzie.Akiwa katika 360 ya Clouds Media, Job Ndugai amesema toka Tundu Lissu apate lile tukio la kupigwa risasi hakuwahi kumpigia simu yeye binafsi ya kumjulia hali kwani anajua Tundu Lissu anamuona Ndugai kama shetani. Hivyo Job Ndugai haoni sababu ya kumpigia simu mtu anayemuona yeye ni shetani.