Joe Biden achaguliwa kuwa rais wa 46 wa Marekani

Biden hata Mimi naona hawezi gombea second term

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Turnout ya mwaka huu ilikuwa juu kidogo.

Na moja ya sababu ni chuki dhidi ya Trump.

Niliwahi kuandika uzi humu kuhusu akili ya Trump....huenda ndo Rais zuzu kuliko marais wote wa Marekani kuwahi kutokea.
Unaweza kumfananisha Trump na huyu wa kwetu hapa Tz?
Maana wana tabia na akili zinazofanana. Wababe sana halafu wanapenda kuwagawa watu. Dunia ya siasa za kidemokrasia haipaswi kuwa na aina ya viongozi wa hivi.
 
Mkuu Ritz upo? Hongereni sana kwa ushindi wa kishindo!!
Daaah sisi tulishaondoka siku nyingi na JK. Tukawaachia nchi nyie. Tupo msoga tu tunakula mananasi na matikiti.
 
Yameumbuka!
 
Trump sa hii anakusanya mabegi na masufuria aondoke zake jumba jeupe.

Ila nitamiss sana mipasho yake huyu babu ana maneno. Yani alishaleta chokochoko hadi kwa wazungu wenzie wa ulaya huko[emoji3]
mipasho gani hiyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ila inaonekana ana nature ya ukauzu + ubabe.maana kuna siku alikuwa anamshika mkewe mkono akawa anakataa!! tena hadharani mbele ya kamera
 
Nimeumia mno, ila ndo hivyo tujipange 24
Huna haja ya kuumia Kaka. Biden will NOT be sworn in as the 46th President. That will not happen. Trump anajiandaa kwenda mahakamani. Kapigwa faulo nyingi sana kwenye uhesabuji wa kura
 
Wekeza kwenye mda. Mchakato ndo umeanza. Kuna miezi miwili mbele
 
Huna uelewa wowote juu ya sera za Repulican vs Democrat huko US. Sera za Republican ni kutoingilia sana mambo ya nchi nyingine wakati Democrat hujihusisha sana na demokrasia ya Dunia.

Tofauti na unavyofikiria, chini ya Democrat, utasikia matamko mengi zaidi na hata actions dhidi ya matukio ya kidikteta, na hasa yanayofanywa na tawala za Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna haja ya kuumia Kaka. Biden will NOT be sworn in as the 46th President. That will not happen. Trump anajiandaa kwenda mahakamani. Kapigwa faulo nyingi sana kwenye uhesabuji wa kura
Si rahisi kihivyo vinginevyo atasababisha maandamano
 
Marekani kuna Usawa katika zile tume zinazohusika na masuala ya uchaguzi, Wademokrati wako vizuri katika kujali hali za watu, tofauti na republican sera zao kuu ni marekani kwanza(wazawa wazungu) ndio maana ukandamizaji wa wamarekani weusi umechukua sura mpya katika utawala wa trump,Binafsi naamini Joe Biden ataitendea haki Demokrasia kama jina la chama chake linavyojinasibu.
 
Kwenye hili ni true, but chama hichi kinaudhi sana kutetea ushoga si unakumbuka obama mambo yake
Obama mwenyewe kayakuta. ofcourse hiyo issue ni tayari ilishakuwa sheria ya nchi before akina obama.
So is not about chama.. trump mwenyewe na chama chake wameshindwa kufuta hiyo sheria. Alikuwa wapi?
 
Hakuna tatiz, history ya US inaeleza hivyo ili ukizi viegezo vyakua Raisi wa dunia yani International president a nation as big as the United States must be a Freemasons member hata Raisi wa kwanza wa US alikua Freemasons
Hiyo sheria imeandikwa wapi? Embu acha conspiracy theory za kijinga. Nyie wenye iman za ajab ajab ndio mnafanya afrika tuonekana wapumbavu.
 
Unajua nyie watu ndo maana mmebaki kupigia makofi hata kwa mambo ya kijinga kwa sababu HAMUELEWI!!

Sasa hapo aliyepata jibu ni mimi au wewe au unayechanganya maandamano ya kawaida na maandamano yanayoambatana na vurugu kiasi cha kuhatarisha amani?!
Tangu lini Chama cha Demoghasia & Maombolezo kikafanya maandamano ya amani; mnachojua nyie ni posho na ruzuku, mbali na hapo ni kutengeneza matukio na vurugu. Aliyewaingia akilini wananchi wazalendo mpaka wakaamua kuwakataeni kwenye ballot box anafaa tuzo ya heshima.
 
Uongo. Utakuwa umeghilimishwa ubongo kwa kusoma vibaya ama kufuatilia kupindukia vyombo vya habari vya Sayari ya Pita-Juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…