Joe Biden achaguliwa kuwa rais wa 46 wa Marekani

Joe Biden achaguliwa kuwa rais wa 46 wa Marekani

Sisi tungeachana tu na haya mambo ya uchaguzi maanake sio hulka yetu. Mtu anajitangaza mshindi kwa mtutu wa bunduki kisha anasema bila aibu kuwa uchaguzi umeisha, uchaguzi gani wakati ni mapinduzi ya kijeshi. Very hopeless indeed.
Usilinganishe DEMOCRATIC PARTY na utopolo wa CHADEMA. Huko ni hoja kwa hoja ndizo zinashindana.

Sasa huku kwetu ni hoja dhidi ya matusi, sasa wee unadhan utachagua nini..!?
 
Nimesikitika sana mshikaji wangu Tarrif man Trump amedondoka.

China sasa itafanya inavyotaka Duniani. Muda si muda watatuletea gongwa lingine *****.

Anyway, Trump wachina wamekuangusha na corona yao.

Ngoja tuone baada ya Trump kuondoka kama cnn wataacha kuandika mbo ya covid maana kila siku ilikua ni covid corona covid ili kutisha wananchi wasimchague Trump
 
Wenzetu wapo mbali sanaa...
Anapita sio Yule unayemtaka Bali ALIYECHAGULIWA.
Kweli marekani ni baba wa democrasia duniani.
Sikudhani Kama Joe Biden angeshinda.
Nilimpa Trump 100%.
Vip kuhusu kuua watu weusi hovyo nayo ni democrasia.?
 
Kwan kuna tatizo?
Hakuna tatiz, history ya US inaeleza hivyo ili ukizi viegezo vyakua Raisi wa dunia yani International president a nation as big as the United States must be a Freemasons member hata Raisi wa kwanza wa US alikua Freemasons
 
Hakuna tatiz, history ya US inaeleza hivyo ili ukizi viegezo vyakua Raisi wa dunia yani International president a nation as big as the United States must be a Freemasons member hata Raisi wa kwanza wa US alikua Freemasons
conspiracy zitawaua mbwa nyie...haya aliens wamejificha wapi hapa bongo?Magufuli ni reptile au dunia ni chapati?
 
Print portraying George Washington as Master of his Lodge
126px-Washington_Masonic_print.jpg
 
of course nothing you know read so many books yes you argue with me be very organized bro

"List of presidents of the United States who were Freemasons - Wikipedia" List of presidents of the United States who were Freemasons - Wikipedia
ungejua jinsi biashara ya kuuza article na vitabu ilivyo lucrative hata usingehangaika na huto tulink.
me mwenyewe kipindi bado mvulana nlikuwa obsessed na hizo theories na nlkuwa naamini kama wewe..Mbaya zaid nlkuwa m7to kwahyo mixa zile stori za papa ni freemason illuminati nk. nk. you get the picture

ila nlpokua na kupata akili nikagundua things are as they seem na kama haya maisha ni movie ujue yako LIVE hakuna behind the scene...so story za propaganda za dini,siasa,imani za kishirikina weka kapuni fanya kazi utoboe wakuite freemason....who gives a f*ck anyways
 

1604785646690.png


President Trump, arriving back at the White House after finding out on the golf course that the election had been called for Biden

1604785693143.png


''Fight to death.'' - Trump Junior​
 
Tunapitia nyakati ngumu mkuu acha tu

Nikiwaza kina mdude chadema, Tito magoti na mamia wapo wanasota magereza bila dhamana kisa ni wakosoaji nakosa amani kabisa.
Mdude chadema bado yuko ndani?
 
Sisi tungeachana tu na haya mambo ya uchaguzi maanake sio hulka yetu. Mtu anajitangaza mshindi kwa mtutu wa bunduki kisha anasema bila aibu kuwa uchaguzi umeisha, uchaguzi gani wakati ni mapinduzi ya kijeshi. Very hopeless indeed.
Ile juzi angetawazwa kuwa mfalme tujue moja.
 
I am the happiest man today. Cheering with a glass of Black Label. Quenching the pain. You know what I mean.

I love Democrats and Obama inspired me more.

I love America, the father of Democracy. Respect to their strong and independent Institutions.

Africans, is there a lesson? So astonished, I mean the Astonishment of the so called our own making Democracy.

Americans I envy You!!! I see how happy are all are at this moment.

God Bless the United States of America
Amen, indeed. God bless the United States of America. No country like the USA.

Haki huinua taifa

Hakika Marekani utainuliwa mpaka dunia ishangae!
 
Back
Top Bottom