Joe Biden achaguliwa kuwa rais wa 46 wa Marekani

Joe Biden achaguliwa kuwa rais wa 46 wa Marekani

Mimi niliyeandika hivi mwezi June ndo nilikuwa upande wake??

Naona hatimae hio movement anayoiongoza Trump inayokubalika na idadi kubwa ya wamarekani imempa ushindi wa kishindo Trump.
Screenshot_2020-11-07-23-15-34-1.jpg
 
Hivi inawezekn baada ya miaka minne tena Trump akagombea tena urais wa marekani?
Haikatazwi...

Na fununu nilizozipata ni Kuwa JAMAA wanajipanga kufanya hivyo 2024....

Trump ana nguvu na pamoja na kushindwa,haijapata kutokea MSHINDWA anazoa Kura nyingi Kama alivyopata yeye....

Ni mtihani Mkubwa kwa JOE BIDEN kuprove him wrong kwa miaka hii 4 otherwise CORONA itapita...na Kama hatokidhi MATAKWA YA WAMAREKANI kiuchumi na kisera basi WANAWEZA tena kumchagua yuleyule MWENYE MDOMO MCHAFU NA USIOTABIRIKA....
 
Acha kabisa hawa jamaa!! Ajabu eti Lumumba wameumia kuona yaliyotokea manake walitarajia kusikia uhuni waliofanya wao ukifanyika US ili wapate cha kusema!! Yalitamani kuona wale waliokuwa wakifanay protest waanze kupigwa mabomu ili yaseme hata kwa mabeberu ukiandamana unapigwa mabomu!!!
Hukuyaona yale ya miezi miwili iliyopita???
 
Hivi inawezekn baada ya miaka minne tena Trump akagombea tena urais wa marekani?
Katiba ya Marekani, sikumbuki ni amendement # ngapi inazungumzia tu kwamba mtu aliyehudumu terms 2 hawezi kugombea tena, au aliyehudumu for more than 2 years ya kukaimu, hataruhusiwa kugombea zaidi ya mara moja lakini haijasema chochote, at least from what I know, kuhusu mgombea ambae kahudumu term moja, kisha akapigwa chini au kwa kugombea for non-concsecutive terms!

Kisheria, kama haijasema chochote, it means haijakatazwa!

Isitoshe, huko nyuma imewahi kutokea rais kupigwa chini wakati anawania awamu ya pili, lakini baadae akaja kugombea na kuchaguliwa urais!
 
Naona hatimae hio movement anayoiongoza Trump inayokubalika na idadi kubwa ya wamarekani imempa ushindi wa kishindo Trump.View attachment 1621744
Ukiyasoma vizuri matokeo ya uchaguzi utaona ninachokisema, hususan kama unaelewa jinsi Marekani inavyoendeshwa.

Biden hana senate. Hata house of reps nako hana majority.

Hawezi kutekeleza chochote cha maana bila compromise.

Ushindi wake hauja trickle na kwingineko.

Jiulize kwa nini Trump ndani ya miaka 4 kaweza kuteua kiurahisi ma Supreme Court justices 3....
 
Back
Top Bottom