mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,588
- 11,668
Tanzania Je?Turnout ya mwaka huu ilikuwa juu kidogo.
Na moja ya sababu ni chuki dhidi ya Trump.
Niliwahi kuandika uzi humu kuhusu akili ya Trump....huenda ndo Rais zuzu kuliko marais wote wa Marekani kuwahi kutokea.