Asante mkuu kwa kunisahihisha!Endorsement si kumpokeza kijiti mtu.
Lugha gongana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu kwa kunisahihisha!Endorsement si kumpokeza kijiti mtu.
Lugha gongana?
Umeitoa wapi wewe hii?Hii ni barua ambayo trump alimkabidhi/mwachia biden wakati akiondoka ofisini. Na aliahidi kuwa atarudi
View attachment 3048216
Trump kachafua hali ya hewa kupita atapita trump huwa hakubali kushindwaNancy kazeeka sana,siyo rahisi kumteua agombee.
Iko wazi...Trump kachafua hali ya hewa kupita atapita trump huwa hakubali kushindwa
Mkuu ilizagaa sana enzi trump ameshindwa kutetea kiti chakeUmeitoa wapi wewe hii?
Kwa Amerika bro sahau.Kamala anakuwa Mwanamke wa kwanza kuwa Raisi wa United States.
Nenda taratibu mkuu, ameshamu endorse.Noteworthy, hajam-endorse Kamala!
Maana yake ni kwamba hamuamini.
Never in this century.Kamala anakuwa Mwanamke wa kwanza kuwa Raisi wa United States.
Yule mwamba Trump anapita; kabatizwa kwa risasi yule!Trump kachafua hali ya hewa kupita atapita trump huwa hakubali kushindwa
Siyo feki hiyo?Mkuu ilizagaa sana enzi trump ameshindwa kutetea kiti chake
Nawe soma taratibu. Nimeshasema hilo kwenye kurasa zilizopita.Nenda taratibu mkuu, ameshamu endorse.
Sera ya, marekani ni ileileSasa Ukraine akubali yaishe tu au atatwangwa tactical nukes za kutosha
Maybe Josh Shapiro?It is an open convention. Reminisce of 1968. Nancy Pelosi is a very powerful women. She single handedly pulled all strings for him to stand down. Kamala can't win against Trump. They need a man. Gavin is too liberal, Wes is new to his job and Ptziker isn't a presidential material although he has money he can tap in. Gavin knew what he was doing when he debated Des Santis last year. Introducing himself to the voters across the 50 states.
Umeshasema hamuamini ndio maana hajamu endorse.Nawe soma taratibu. Nimeshasema hilo kwenye kurasa zilizopita.
Muongo wewe! Lini hao electors wameenda kinyume na mshindi wa popular vote ya state?