Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024

Naomba kujua kama trup atashinda uras awamu hii anaruhusiwa kugombea awamu inayo fuatia?
 
Apa labda kama wanataka mwanamke wampe Nancy Pelosi au watafute kijana mwenye nguvu ampe changamoto trump
 
Yeah kuna uwezekano kabisa wa wao kuwa na open convention.

I can’t wait to see that.
It is an open convention. The job of unifying the party will be really hard. No moderate figure that can be accepted by the progressive,liberal and few conservative in the party at the moment. It is either they are extreme and no one with ability to drill the middle ground. Progressive on the social dynamic while at least conservative in the economy. Aiming for the future while investing at the moment.
 
Jibu swali nililouliza,Kama haijawahi tokea haimaanishi haiwezi tokea,na hao electoral college ni deep state,mawakala wa mabepari wanaoamua nani awe rais
Electors hawawezi kwenda kinyume na will ya raia wa majimbo na kujiamulia watakavyo wao.

Wakifanya hivyo italeta constitutional crisis.

Ndo maana haijawahi kutokea.

Ambacho huelewi ni nini?
 
Wanaukumbi.

MAREKANI: Rais Joe Biden ametangaza kujiondoa katika kinyang'anyiro cha kuwania Urais kwa awamu ya pili

Kwa hatua hiyo, Chama cha Democrats kitatakiwa kuchagua Mgombea mwingine.

Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza kuwa hatagombea tena urais, akisema "ni kwa manufaa ya chama changu na nchi".

Tangazo hilo linakuja miezi minne kabla ya Wamarekani kwenda kupiga kura na kubadilisha mbio kuelekea Ikulu.

Hii inafuatia wiki kadhaa za shinikizo kutoka kwa wanasiasa wa chama chake baada ya utendaji wa kusitasita katika mdahalo dhidi ya mgombea wa Republican, Donald Trump mwishoni mwa mwezi Juni.

Katika barua aliyoweka kwenye akaunti yake ya mitandao ya kijamii, alisema imekuwa heshima kubwa zaidi ya maisha yake kuhudumu kama Rais.

"Na ingawa ilikuwa nia yangu kugombea tena, naamini ni kwa manufaa ya chama changu na nchi nisimame chini na kujikita kikamilifu katika kutimiza majukumu kama Rais kwa kipindi kilichosalia cha muhula wangu".

Alisema katika taarifa yake kwamba atalihutubia taifa kuhusu suala hilo wiki ijayo.

Rais Biden alimshukuru Makamu wake wa Rais Kamala Harris, akisema alikuwa "mshirika wa kipekee".

"Na wacha nitoe shukrani zangu za dhati kwa wananchi wa Marekani kwa imani na uaminifu mliyonipa," taarifa yake iliongeza.

"Naamini leo na daima kwamba hakuna kitu ambacho Marekani haiwezi kufanya - tunapokifanya kwa pamoja. Tunapaswa tu kukumbuka sisi ni Umoja wa Mataifa ya Marekani."

Wiki iliyopita alirudi nyumbani kwake Delaware baada ya kugunduliwa kuwa na Covid, lakini alisema Ijumaa alikuwa akitarajia "kurudi kwenye kampeni wiki ijayo".

Awali alisema ni "Mwenyezi Mungu tu" angeweza kumfanya ajiondoe, lakini baadaye alisema angefikiria kujiondoa kutokana na hali ya afya.

View attachment 3048205
Katupa taulo 😁👋
 
Tatizo tunatofautiana Upeo, kama ulikua fan wa JPM sishangai ukiwa fan wa Trump

JPM akipanda jukwaani utasikia tumechezewa vyakutosh "mazezeta yatapiga kelele za furaha"
Trump nae akipanda jukwaani utasikia, America inachezewa na watu, mzezeta yanapiga kelele za furaha
Kwamba Amerika kuna mazezeta?
 
Kale kabibi nako kamezeeka Sana.
And still she exert a lot of influence. She is the reason he is resigning. Jeffrey or Schumer couldn't do it. It is like the influence Mitch McConnel exert on the republican. Although it is a republican party, it is still Mitch doing. The judges, in all the benches are his design. The recruitment of the candidate. Still there are his signature still.
 
Hii ni barua ambayo trump alimkabidhi/mwachia biden wakati akiondoka ofisini. Na aliahidi kuwa atarudi
1721587647971.png
 
Back
Top Bottom