Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Aiseee!Ni kweli hayo au umeremba mwandiko tu.Old man anajinyea nyea sana đź’©
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee!Ni kweli hayo au umeremba mwandiko tu.Old man anajinyea nyea sana đź’©
Hata was hapa atamuiga Biden!Taifa kubwa kama Marekan, Rais aliyeko madarakani anaamua kutokugombea baada tu ya kuona Hakubariki, Taifa linakwenda Mrama..... Hapa kwetu ,CCM ya Samia, kwanini mlazimishe Rais mwanamke aongoze Taifa hili?. Ili hali Taifa bado linajitafuta .
Sio rahisi kihivyo mkuu,kunawatu wandani wenye nguvu hawampendi huyo mzee.Bora amerusha taulo mapema.
Minne tena kwa Trump.
Ndiyo mkuu, na ndo maana ya neno "ni kama"Kwani si Lazima Democrat wateue mgombea??
Angekua mbongo angekomaa
Angekua mbongo angekomaa
Anakimbilia kuwa wa kwanza kutoa Breaking News!.Andika taratibu, unakimbilia wapi mkuu..
Ngoja tuwe na subra muda utaamua.Sio rahisi kihivyo mkuu,kunawatu wandani wenye nguvu hawampendi huyo mzee.
Kujiondoa kwa Biden ndio kunafanya njia ya tramp kuwa ngumu zaidi.