Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024

Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024

Wenzetu wametuzidi Kila kitu.kaona amezeeka kaamua kutokugombea,safi sana hio ndiyo demokrasia na uwajibikaji.Lakini sisi hapa tuna li bibi linataka kugombea Tena 2025 wakati alichokifanya hatuzioni.badala apumuzike Kwa heshima chawa wake wanajipendekeza agombee na yeye kakubali.
Kalazimishwa alikuwa anakomaa pamoja kuwa afya mgogoro.
 
Thubutu, weka makalio yako kwa utulivu uone muziki wa DT

Tatizo tunatofautiana Upeo, kama ulikua fan wa JPM sishangai ukiwa fan wa Trump

JPM akipanda jukwaani utasikia tumechezewa vyakutosh "mazezeta yatapiga kelele za furaha"
Trump nae akipanda jukwaani utasikia, America inachezewa na watu, mzezeta yanapiga kelele za furaha
 
Back
Top Bottom