Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunazungumzia UraisVipi kuhusu Mbowe?
Kalazimishwa alikuwa anakomaa pamoja kuwa afya mgogoro.Wenzetu wametuzidi Kila kitu.kaona amezeeka kaamua kutokugombea,safi sana hio ndiyo demokrasia na uwajibikaji.Lakini sisi hapa tuna li bibi linataka kugombea Tena 2025 wakati alichokifanya hatuzioni.badala apumuzike Kwa heshima chawa wake wanajipendekeza agombee na yeye kakubali.
EEEeenHeeeee!Rais Biden hatatetea tena nafasi yake kwenye Uchaguzi mkuu wa mwaka huu
Citizen TV
Trump atashinda tu.Do itakuwaje,Trump njia ilikuwa nyeupe kabisa,supu imetiwa nazi
Thubutu, weka makalio yako kwa utulivu uone muziki wa DT
Kama bosi wako hakupi endorsement yake, jua kuwa hadhani wewe ndiye unayefaa.
Trump atapata upinzani mkubwa kama Democrat watateua mgombea mwingine ambaye ni kijana anayekubalika.
Too old tu run the showWanaukumbi.
MAREKANI: Rais Joe Biden ametangaza kujiondoa katika kinyang'anyiro cha kuwania Urais kwa awamu ya pili
Kwa hatua hiyo, Chama cha Democrats kitatakiwa kuchagua Mgombea mwingine.
View attachment 3048172
Surely ,but he endorses VP to be his party's nomineeNope!
Labda afe kabla ya January 20, 2025.
Hawa hapa hadi liwapate la kuwapata.Kwani hatujakubaliana kwamba fomu ni moja tu hadi 2030?