Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024

BIDEN'S POTENTIAL ALTERNATIVES.👇

According to the poll, Arizona Senator Mark Kelly, Maryland Governor Wes Moore, Pennsylvania Governor Josh Shapiro and Michigan Governor Gretchen Whitmer were all found to outperform both Biden and Harris.

As things currently stand, senior Democrats estimate that Biden is pursuing a razor-thin path to reelection, as four of the seven key battleground states are looking increasingly out of reach.
 
And how did 1968 turn out for the Dems…?
 
Umegundua Nini?viongozi wote walio inua panga zao dhidi ya Russia kupitia mgongo wa NATO wanaondoka mmoja baada ya mwingine ,Marekani,Uingereza .France nk
 
Jikite kwenye mada husika, usianzishe uzi ndani ya uzi, Kuna nyuzi zaidi ya 10 zimeanzishwa na uvccm za Mbowe must go, sasa na huu wa Biden nao bado mnataka kuchomeka hayohayo?
Wewe si ndio umeanzisha uzi ndani ya uzi? Au umesha sahau? Uzi unahusu Biden ila wewe ukataja Rais mwingine kabisa! Au wakati una comment akili zako ulikua umeziweka mfukoni?
 
Ni mtoto pekee atakayeamini Sleepy Joe anajiondoa sababu amechoka. Kuna sababu mbili, eidha ana ugonjwa mkubwa sana na hatomaliza miaka 5, na ili kuondoa ulazima wa kuweka kiongozi incompetent kama nchi fulani kule barani Mozambique. Wenye akili nyingi wakamshauri aachie ngazi.

Au ukilinganisha kwakuwa wananchi wa United Snakes of America wapo pissed na yeye kupitiliza. Basi atakuwa anahofia watamtungua maisha yake baada ya kuona kilichotokea kwa mwenzake Trump.

Anyway, kuna kiongozi mmoja anapaswa kufanya hivi, sababu lile taifa linaporomoka kwa spidi ya mwendokasi kuelekea makongoloni.
 
Baadhi ya majina yanayotajwa mara kwa mara ni pamoja na Makamu wa Rais Kamala Harris, California. Gavin Newsom, Gavana wa Michigan Gretchen Whitmer, Gavana wa Illinois J.B. Pritzker na Gavana wa Pennsylvania Josh Shapiro. Seneta wa Arizona Mark Kelly, mwanaanga wa zamani wa NASA,
 
Basi kura apewe trump maisha yaendelee
Hamna haiwezakani kwa US kitu kama hicho ,wezetu wanaheshimu demokrasia demokrasia ndio itaamua whom people want,ingawa kwa upepo uliopo wameshaona Trump is whom people want ili kuweka heshima yake vizuri katika historia Mr Biden ameona akae pembeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…