Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024

Juzi alikiri anaumwa.

Republicans watakuwa wanashangilia sana wakati huu.

Bado doubt yangu iko pale pale, Trump ana ushawishi wa kutosha kwenye vyombo vya usalama?
Hapa ndipo Kuna mchezo mtamu, juzi kati Kuna Senator kashaawmbia wajiandae, pamoja na Mwanasheria MKUU Wa Serikali, kivumbi watakachoingia nacho Republicans Democrats wanaweza kufurukutishwa kwa Miaka 20.
 
Yah may be Shapiro. He is from a battleground state but can he really coalesce leaders into his fold? Kamala has an advantage of inheriting all of the Biden infrastructure in battleground states and all of his cash. Biden can transfer all to her but none to those others. He can only transfer to DNC if Kamala isn't the nominee but the rules around spending will be difficult because it is expensive to purchase ads if you are not the nominee. It is interesting that for at least a month trump will be unhinged. He will be free to room the streets, the airwaves and everything.
May be Mrs Obama. She has retained a high favorable since leaving the spotlight with his husband.
Maybe Josh Shapiro?

The big news is that he’s not stepping down immediately, which means an open convention.

They will not have to automatically nominate Harris, so the convention is going to be wild!
 
Hiyo ndio Marekani, nchi ya kidemokrasia. Siyo huko uarabuni kwenu wamekalia ugaidi tu na kulazimisha watu kwenda kuswali.
 
To Stand down= kusimama chini!?...
 
Media zote na attention zitahamia Democrats kujua na kufuatilia drama za kumpata mgombea wao, Trump unaweza usimsikie tena
 
PUT IN inasemekana kuwa aliwahi kumuambia kuwa ameshuhudia idadi flani ya Marais wa US wakati yeye akiwepo mmoja tu pale Kremlin na kwamba yeye ni mdogo kwake.

Boris Johnson naye inasemekana aliambiwa hayo maneno.
 
Ni uamuzi sahihi kwa manufaa ya chama chake cha Democrat na America kwa ujumla.Amechoka sana na ana ugonjwa wa sahau sahau, jambo ambalo ni la hatari sana kuendelea kuwa Rais.
Wajitokeze wagombea wengine wenye uwezo na ushawishi,apitishwe na Mkutano Mkuu wa Democrats mwezi wa August 2024
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…