Joe Biden asinzia wakati Makamu wa Rais Dkt. Mpango akizungumza

Wakiwa Angola, Joe Biden anaonekana akisinzia wakati makamu wetu wa Rais akizungumza.

Babu Biden kachoka. Arudi kwa huko Delaware akapumzike na wajukuu wake.
Angesinzia wakati akiongea wa Kenya je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…