Mavipunda
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 7,072
- 7,891
Yule bwege alikuwa anajifanya mtu wa sarakasi na mazingaombwe..alikaa ICU siku mbili akarudi kwa BABAKuna jamaa alijirusha pale magomeni kwenye ghorofa za Watumishi House alafu akafikia kwenye pipa la maji maarufu kama Sim tank na kufa palepale