thatfunnyboy23
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 850
- 1,134
Daaah ushakuja na concluszz ugumu wa maisha,una uthibitisho juu ya hilo?Ugumu wa maisha!Tanzania viongozi wanakula na kusaza.wananchi wamesahaulika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah ushakuja na concluszz ugumu wa maisha,una uthibitisho juu ya hilo?Ugumu wa maisha!Tanzania viongozi wanakula na kusaza.wananchi wamesahaulika
Mkuu alikufa yule ila baadae, tukio lile lilizimwa chinichini sababu kuna uzembe ulifanywa mpaka kuruhusu kufanya tukio lile katika yale majengoHakufa, alivunjika vunjika sehemu mbali mbali za mwili ikiwamo miguu na mikono. Alikuwa bado mzima akapelekwa hospital.
Uzuri familia yake wwalikuwapo kuona tukio lake la kujirusha ambalo yeye alilipa jina la tukio la kishujaa.
Tena alifanya interview kabisa kabla ya kujirusha na kujisifu kuwa alishafanya mirusho kadhaaYule jamaa si alikuwa anataka kujifanya superman
Ova
Pale Mwanga Tower, Makumbusho limetokea tukio la mtu asiyefamika kujirusha kutoka gorofani, ambapo inasemekana tukio hilo limetokea mapema leo majira ya saa kumi na moja asubuhi.
Mpaka majira ya saa mbili asubuhi bado mwili wa mtu huyo ulikuwa eneo hilo. Taarifa zaidi zitakujia kadri zitakavyopatikana.
=====
Kijana asiyefahamika aliyekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 30 hadi 35 amefariki baada ya kujirusha kutoka gorofa ya 15 katika jengo la Derm lililopo Makumbusho, Dar es Salaam.
Sio mazingaumbwe aliiga mchezo kama ulaya wazungu wanaruka majengo marefu wao wanakuwa na vifaa ila yeye aliweka simtak lenye maji kwenye kuruka aligonga pemben ya tank af akaingia ndan.alivunjik miguu yote 2 akafa.
Huyu Jamaa ndio Tushamsahau!!View attachment 2632363
Na hasa kama alikuwa anapenda uzinduzi wa +255 Kigoma3 ndo iko sahihi zaidi, kuna jambo linapotezwa ushahidi.
Alikuwa anafanya kazi kwenye hilo ghorofa?Mwamba huyu hapa
Kwakweli hiki kilikuwa kituko cha karne 😆🤣😂Huyu Jamaa ndio Tushamsahau!!View attachment 2632363
Watu wamekosa utu.si wangempeleka hospital kama inawezekana aokolewe.pia hata kama kafariki mnamsearch vitambulisho vyake mnatangaza kwenye media na social nets ndugu wajitokeze?Hapo hasipitali hiko karibu tu tena sio 1 sinza kuna hospitali na mwenge Rufaro hii ya jeshi
Hapa panaonyesha madhaifu makubwa Kwa vyombo husika, ilitakiwa mtu awajibishwe, Zaidi Zaidi atatukanwa mwendezakeWazungu wakisema hatuna akili tusikatae.tangu saa 11 mpaka saa 2 mnauangalia tu?
Hamna vituo vya polisi?hospital?
Pale Mwanga Tower, Makumbusho limetokea tukio la mtu asiyefamika kujirusha kutoka gorofani, ambapo inasemekana tukio hilo limetokea mapema leo majira ya saa kumi na moja asubuhi.
Mpaka majira ya saa mbili asubuhi bado mwili wa mtu huyo ulikuwa eneo hilo. Taarifa zaidi zitakujia kadri zitakavyopatikana.
=====
Kijana asiyefahamika aliyekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 30 hadi 35 amefariki baada ya kujirusha kutoka gorofa ya 15 katika jengo la Derm lililopo Makumbusho, Dar es Salaam.
Au kaanguka kwa bahati mbayaHapo kuna mawili au matatu
1. Kajirusha
2. Karushwa
3. Kashurutishwa kujirusha
Hapo kuna mawili au matatu
1. Kajirusha
2. Karushwa
3. Kashurutishwa kujirusha
Ni sawa lakini mi naongelea jambo kufanyika upesi ikiwezekana kama mtu hajafa mjaribu hospital kuokoa uhai.sasa watu hapo wanaconclude kashakufa huyu,polisi nao masaa mawili hawapo eneo la tukio.Hapana mkuu
Ni lazima uchunguzi ufanyike
Hata wazungu maiti haiwezi kuondolewa haraka inachukua masaa kadhaa
Nimeshuhudia kwa macho barabara zilifungwa siku nzima na maiti ikifanyiwa uchunguzi