Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 12,445
- 27,920
Sizani kama watu wa kitengo watakua majuha kiasi hiki, kati ya njia zote wamuondoe kwa style hii na sio nyingine ya kimya kimyaKama ni kazi ya kitengo SAHAU[emoji419][emoji375]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sizani kama watu wa kitengo watakua majuha kiasi hiki, kati ya njia zote wamuondoe kwa style hii na sio nyingine ya kimya kimyaKama ni kazi ya kitengo SAHAU[emoji419][emoji375]
Kwanini hulima mkuu?Nipeni mtaji mkuu...nianze kujumua mazao washaanza kuvuna saivi
Acha ujinga.ghorofa ya 15 hata ubane miguu huponi[emoji23]mwamba alitanua miguu ndo kilicho muangusha
Nipo ndugu.napambana sitaki stress mieOo upo mom? Umepotea jukwaani! Sawa cute.... nimeandika tu kuwa yaweza kuwa sababu pia...
Bora sumu aiseeDuuh akaona hakuna njia nyingine isipokuwa hiyo ya kujirusha!!
Sipendi ugali kabisa na ninaishiUgali samaki za kukaanga upate na kachumbari
Ipo siku mtaingia Moshi kwa visaMimi mswahili kwanza hilo jina lako tu pita kushoto..Sipendi shobo
Yes cute,ifikie hatua tukubali yaisheNipo ndugu.napambana sitaki stress mie
Ume angalia iyo video au ume kimbilia tu kujibu jibu hapa.na sio ume angalia tu ni ume angalia kwa makini ? Jamaa katanua miguu na ndio ilio piga kwenye sim tank hadi miguu ika vunjika .hata report ya daktari chanzo cha kifo uwe kukuta ni kuanguka juu ya gorofaAcha ujinga.ghorofa ya 15 hata ubane miguu huponi
Mwl?Nipeni mtaji mkuu...nianze kujumua mazao washaanza kuvuna saivi
Ndoa ni ya watu wenye Akili tu haiwahusu mapoyoyo!Kavaa Pete ya ndoa
KATAA NDOA
NDOA NI STRESS
NDOA NI KIFO
Mtakavyonipopoa sasa🙆🙆🙆🙆🤭🤗
Kumbe tayari alikuwa maarufu halfu kaenda tena kutafuta kikiHuyu ndiy kajirusha ghorfan na kufa hapohapo alikuwa ni MCView attachment 2632647
Jaman,kwahiyo mie poyoyo😔Ndoa ni ya watu wenye Akili tu haiwahusu mapoyoyo!
Sawa mkuu Asante sana....ngoja nipate mume wa kusimamia asiye na kazMwl?
Ingia bank acha uoga wa pesa mkuu utakufa masikini,
Ingia bank omba mkopo fanya biashara ya faida...
Umesema ndoa hutaki, itakuwaje bossSawa mkuu Asante sana....ngoja nipate mume wa kusimamia asiye na kaz
Nimeandika tu maana siye singlemom twaonekana tunaharaka nazo....embu ngoja tuungane na kataa ndoaUmesema ndoa hutaki, itakuwaje boss
Endelea mkuuNimeandika tu maana siye singlemom twaonekana tunaharaka nazo....embu ngoja tuungane na kataa ndoa
Kufanya nn tena?Endelea mkuu