Mtu huna hata Gari unataka kujiua, haya mwenzenu ana GARI na kajirusha.
Furahia maisha uliyonayo na uache kutamani maisha wanayoishi wengine kwa kuona mali na vitu wanavyomiliki.
Yawezekana, Kuna mtu mtaa wa MAREHEMU alikua akimuona MAREHEMU asubuhi akitoka na gari yake anamtamani kweliii,ana wish angekua hata na maisha kama ya marehemu.
Fikiria, Maisha ya mtu uliekua unamtamani,yeye mwenyewe alikua anatamani leo kesho Aamke akute watu wanaomboleza KAFARIKI, ila Mungu hapangiwi.
Jamaa akaona msimcheleweshe akaamua Kupita Shortcut.
SOMO:
Maisha uliyonayo Mungu anasababu ya wewe kuwa hivyo ulivyo,usitamani mali au maisha ya mtu mwingine kwani hujui anayopitia mwenzako.
Kama Mtu huyu Kajiua kwa kushurutishwa,naamaini kafanya yote hayo kwa ajili ya FAMILIA yake.
au Lah! kuna baya zaidi lingekuja tokea mbele yake,akaona kuliko aje a make Headline ni bora,headline ya kujiua.
JAMANI kuna maisha mengine tusiyoyaona watu wanaishi.