Joel Nanauka akifurahia ndoa

Ndio maana wavivu na wajinga kama wewe msiotaka kujifunza kwa kushughulisha akili zenu kutafuta maarifa, Mnasubiria kutafuniwa nyie mmeze tu.

Wavivu wavivu kama wewe msiotaka kujifunza wenyewe ndio mtaji mkubwa kwa hao Motivation speakers.
 
Sema jamaa naye anadanganyaga watu kuwa alikuwa best student kitaifa o - level wakati aliongoza tu baadhi ya masomo. Motivational speaker kuwa mwo

1. Si kweli. Vitabu na mihadhara ya mtajwa Ni myepesi Sana. Hana zaidi ya ku-copy.

2. Soma vitabu vya Dr Myles Munroe ulinganishe na Nanauka na Mauli utalia machozi.
Tuoneshe na vya kwako!!
 
Hela ni kama ushuzi tu.. huwa haijifichi. Mtu mwenye hela hahitaji mtetezi wa kumtetea kuwa ana hela.
 
Eti bahati haikuwa yao, labda bahati ya hizo samani za kishamba hapo.

Nawaona washamba wawili sijui wameokotana wapi, bora kubaki single tu.
Ya mkosaji hayo!! Simdharau aliye single lakini ukweli utabaki kuwa raha isiyo na mfano duniani ni maisha ya ndoa kwa wanaojitambua!! Changamoto zipo lakini haziwezi kuzima raha na burudani ya ndoa!! Ndoa tamu nyie acheni mchezo!! hakuna mfano wake!! Ni raha mpaka basi!! Ninapozungumza hivi nina miaka 36 ya ndoa!!

Watu wengi huwa hawajawahi kuona raha ya ndoa kwa sababu walikosea mwanzo!!Waliingiliana na kushiriki tendo la ndoa kabla ya ndoa!! hiyo ni sumu ya ndoa!! ukifanya hivyo sahau kujua utamu na burudani ya ndoa!! Usishiriki tendo la ndoa na yeyote kabla ya ndoa!! Ukifanikiwa hapo, kuna raha isiyo na kifani inakusubiri!! Maajabu ya Mungu kwenye ndoa yamefichwa kwenye uaminifu kabla na baada ya ndoa!!
 
Umechelewa sana kuutoa huu ushauri wako.
 
Watanzania wengi wana wivu wa kijinga sana na roho za kifukara kama wachawi. Ukifuatiliaji comments za wengi humu watu roho zinawauma Ile mbaya Kwa mafanikio ya Nnanauka. Ni wachache sana Wanao appreciate mafanikio ya Joel na usmart wake kichwani.
Kabisaa.🙏
 
Ndio maana wavivu na wajinga kama wewe msiotaka kujifunza kwa kushughulisha akili zenu kutafuta maarifa, Mnasubiria kutafuniwa nyie mmeze tu.

Wavivu wavivu kama wewe msiotaka kujifunza wenyewe ndio mtaji mkubwa kwa hao Motivation speakers.
Mkuu wewe una interest ya kusoma vitabu ,achna na vya ki bongo?.
 
Jeiefu ndio kuna great thinker ? Mbona watu ni wana wivu na uchawi pasipo wao kujijua?
1. Mnaomponda tuonyesheni nyinyj potential yenu kwa umma hata kidogo basi tuwaone kama kitu rahisi

2. Mnaosema sijui ana refer somewhere, mhona hizo elimu zenu mlizonazo mlizi take somewhere kwanini hamkuja na zenu kama bongo zenu zinafanya kazi?

3 Mnatumia stuffs eg simu za wale wanaojua ku think deeply, mbna nyinyi hamlet vitu new?, mbna hatuoni potential zenu, sasa zinawasidia nini , bangladesh nyinyi🚮.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…