Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Kasoma Kibaha O level.Joel hahitaji uDC au uDED kwa ukwasi alionao na akili aliyonayo. Huyu alikuwa best student wa Mwaka wangu 2002-O level na form six 2005 pia alinyosha AAA.
Kibaha-PCB then B.Com UDSMKasoma Kibaha O level.
Advance kasoma wapii?
Kumbe alisoma Kibaha miaka 6.Kibaha-PCB then B.Com UDSM
Kihaba boy yule. Jamaa yupo vizuri sana kichwani. O-Level mwaka 2002 alikuwa mwanafunzi wa pili kitaifa kwa ufaulu wa kwanza akiwa Moses Mwizarubi. Nilikuwa nafuatilia sana maana ule ulikuwa mwaka wangu ingawa mimi sikubahatika kusoma shule ya vipaji but nilikuwa napenda mambo ya "Education is Better than Money". Ningejuaga kama Money is better than education ningeishiaga form IV tu nikaingie zangu mishen town. 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀Kumbe alisoma Kibaha miaka 6.
Suti ya huyo dada.Masuti suti
Unajua maana ya msaada?Hata ukifungua hospitali utakuwa unafanya biashara huku unawasaidia watu
Werevu huwatumia wajinga kama mtajiHamna kitu humo. Hivi ninyi mnaosubiri motivational speakers ndo mfanye jambo mnaishi sayari gani? Hivi kweli a normal human being unahitaji kutiwa moyo ili utafute pesa? Mimi tangu niko chuo walikua wanakuja kibao basi naona washkaji wanajaa kweli kuwasikiliza najisema tu hii nchi wajinga hawaishi.
Hivi motivational speaker ataongea nini cha maana.
Et mtu unakuta anamsikiliza Chris Mauki namna ya kuendesha ndoa. Hivi kweli ujinga hauna faida aisee, yani ndoa yako unasubiri mtu akueleze et mke anahitaji hiki na hiki ndo ukafanye.
Hii nchi ziongezwe hispitali za vichaa aisee
Jamaa alikataliwa au alisalitiwa maana mademu wengi wa Kibongo hawapendi mtu anayeishi maisha sahihi, wakishazalishwa watoto kadhaa na wanaume tofauti tofauti ndipo wanaamka na kutaka waume za watu tena kwa kuwaroga ili wawatunzie watoto waliozaa na vibaka.1. International best author and motivational speaker kutoka Tanzania akifurahia ndoa na mkewe halali.
2. Ikumbukwe pia Mheshimiwa Dr Nanauka aliwahi kuonyesha Nia Kwa Wadada kadhaa ila bahati haikuwa Yao. Asanteni.
View attachment 3059650
unajua maana ya motivation speaker?Hamna kitu humo. Hivi ninyi mnaosubiri motivational speakers ndo mfanye jambo mnaishi sayari gani? Hivi kweli a normal human being unahitaji kutiwa moyo ili utafute pesa? Mimi tangu niko chuo walikua wanakuja kibao basi naona washkaji wanajaa kweli kuwasikiliza najisema tu hii nchi wajinga hawaishi.
Hivi motivational speaker ataongea nini cha maana.
Et mtu unakuta anamsikiliza Chris Mauki namna ya kuendesha ndoa. Hivi kweli ujinga hauna faida aisee, yani ndoa yako unasubiri mtu akueleze et mke anahitaji hiki na hiki ndo ukafanye.
Hii nchi ziongezwe hispitali za vichaa aisee
sifa moja wapo ya maskini ni kuchukia mafanikio ya watuTatizo la maskini choka mbaya kama wewe unadhani kuitwa bungeni ndio sifa kuu.
Wakati hao hao wabunge wenyewe wanazidiwa elimu, maarifa na fedha na watu wengi sana.
Halafu Mlala hoi kama wewe unadhani kuitwa bungeni ndio kwamba unajua kila kitu.
Una ulimbukeni na ujinga.