Joel Nanauka akifurahia ndoa

Joel Nanauka akifurahia ndoa

1. International best author and motivational speaker kutoka Tanzania akifurahia ndoa na mkewe halali.

2. Ikumbukwe pia Mheshimiwa Dr Nanauka aliwahi kuonyesha Nia Kwa Wadada kadhaa ila bahati haikuwa Yao. Asanteni.
Mmm ndoa yao si inazaidi ya 13 years .. 😅😅sasa huu uzi unamantiki gani ?? Au Ndo umemjua leo hüyo Nanauka?
 
1. International best author and motivational speaker kutoka Tanzania akifurahia ndoa na mkewe halali.

2. Ikumbukwe pia Mheshimiwa Dr Nanauka aliwahi kuonyesha Nia Kwa Wadada kadhaa ila bahati haikuwa Yao. Asanteni.
Ndoa-N (mnazinguana ndoa inaingia doa) =doa
Doa-D (mnaendelea kuzinguana hali mbaya unataliki na kuvuta mwingine) =oa
Oa-O (akija mpya mambo ya kuzinguana yanarejea, unapigwa butwaa) =a!!!

Unaoa mwingine, the same story begins
 
Great thinker think alike

Namkubali Sana huyu jamaa anatumia karama yake vizuri Sana kuisadia jamii.

Kichwani kabarikiwa.
2015 aligombea ubunge mtwara mjini ila wananchi walimkataa na kumpiga majungu sana kisa dini yake...walidai jimbo la mtwara hawezi kuongoza mkristo, mwishowe wakampa ubunge mtu mmoja alikuwa anaitwa Maftah nachuma muislamu safi sana mwenye sijda kubwa kwatiketi ya CUF,,ila mshkaji alipochaguliwa akaoa tanga na ghafla akawa anaichangia coastal union timu ya ukweni na haitoshi akaamua kuhamia tanga na wakati huo timu ya nyumbani ndanda ilikuwa inapitia wakati mgumu mno kiuchumi
 
Back
Top Bottom