safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Nimegundua hilo mkuu.Yeah sure.
Tatizo lingine la wabongo ngeli shida.
Na vitabu vingi vimeandikwa kwa kiingereza hivyo wabongo hawaelewi lugha na misamiati ya vitabu hivyo.
Huyo Nanauka alichofanya ni kutafsiri hivyo vitabu kwa kiswahili, Akaongeza mawazo yake kidogo kisha akachapisha kuwauzia wavivu wasiotaka kushughulisha akili zao kutafuta maarifa.
Wabongo wengi wanataka matumaini uchwara ya kuwafariji na umaskini.
Mtu anafurahi kuambiwa,
"See you at the top" ilhali kiuhalisia ni hohehae maskini choka mbaya pangu pakavu tia mchuzi.
Ndio wabongo hao.
Nikisoma vitabu vya kiswahili sipati ladha maana wamekopi na kupaste tu.
Ila nikiingia kwa wenyewe najikuta nasoma tu time ikiyoyoma bila kuchoka.