Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Ahaaa ila watu ni wambea *****2015 aligombea ubunge mtwara mjini ila wananchi walimkataa na kumpiga majungu sana kisa dini yake...walidai jimbo la mtwara hawezi kuongoza mkristo, mwishowe wakampa ubunge mtu mmoja alikuwa anaitwa Maftah nachuma muislamu safi sana mwenye sijda kubwa kwatiketi ya CUF,,ila mshkaji alipochaguliwa akaoa tanga na ghafla akawa anaichangia coastal union timu ya ukweni na haitoshi akaamua kuhamia tanga na wakati huo timu ya nyumbani ndanda ilikuwa inapitia wakati mgumu mno kiuchumi