safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
😁😁😁.Unakuta mtu anajiita Dr kabisa. Nao pia wapige hela za wajinga haraka haraka kabla hawajashtuka.
So mkuu wakiamka watafanya nini ili wasiende kwa wataalamu wa afya ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁.Unakuta mtu anajiita Dr kabisa. Nao pia wapige hela za wajinga haraka haraka kabla hawajashtuka.
Eti bahati haikuwa yao, labda bahati ya hizo samani za kishamba hapo.1. International best author and motivational speaker kutoka Tanzania akifurahia ndoa na mkewe halali.
2. Ikumbukwe pia Mheshimiwa Dr Nanauka aliwahi kuonyesha Nia Kwa Wadada kadhaa ila bahati haikuwa Yao. Asanteni.
View attachment 3059650
1. Ku-copy bila ku-acknowledge source ni plagiarism (wizi wa maarifa). Ipo siku atadhalilika labda aendelee kuwalisha matango Pori hapo hapo Buza na Mbagala.Sawa anakopi WEWE VYA KWAKO VYA KU COPY VIKO WAP..
Hata Kama amecopy Ila yupo exposed na ame pata EXPOSURE ya kusoma MAARIFA mengi ambayo hayapo kwa lugha yetu na akaya boresha na kupata kitu Bora zaidi...
Ndio maana kwenye ulimwengu wa WASOMI Kuna kitu kinaitwa APA STYLE
Sijui unajua maana ya APA STYLE????
Pia unajua,
What does it mean to add to the body of knowledge?
Almost all researchers want to add to the body of knowledge about the topic of their research.
So tusipende ku beza jitihada za watu kwa kujifanya wajuaji kupita KIASI..
Kuna watu hawawezi hata kupiga Dana Dana mbili tatu Ila kwenye ku criticize Mambo ya mpira Sasa utashangaa
1. Ku-copy bila ku-acknowledge source ni plagiarism (wizi wa maarifa). Ipo siku atadhalilika labda aendelee kuwalisha matango Pori hapo hapo Buza na Mbagala.
2. APA reference style = ni referencing style we Dada acha kutishia watu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Najua Joel kasoma vitabu vingi, na katoa semina nyingi tu za mahusiano na maisha kwa ujumla, ila sasa kaingia ndoa, namwambia tu, NDOA SIO VITABU WALA SEMINA, karibu uwanja wa vita baridi..!!
Kwanini?Soon atanza kuonja joto la jiwe
Uganga wa kienyejiKarama gani?
Namkubali Sana nanauka jamaa ni very humble sana1. International best author and motivational speaker kutoka Tanzania akifurahia ndoa na mkewe halali.
2. Ikumbukwe pia Mheshimiwa Dr Nanauka aliwahi kuonyesha Nia Kwa Wadada kadhaa ila bahati haikuwa Yao. Asanteni.
View attachment 3059650
Acha wivu wewe nenda kacopy wewe basithink tank ya ku-copy
Danganya na weweSema jamaa naye anadanganyaga watu kuwa alikuwa best student kitaifa o - level wakati aliongoza tu baadhi ya masomo. Motivational speaker kuwa mwongo haipendezi.
Utakufa kwa wivu aisee duuuhWATZ NI WAVIVU SANA SASA HUYU MTU ANAWADANGANYA DANGANYA NA VITU VYAKE UCHWARA UCHWARA BX MNAMUOVERATE KAMA VILE KITU SANA....ANYWAY SIWALAUMU SANA BCOZ WENGI NI ZERO BRAIN SASA MKIPEWA VITU VYA KUOKOTA OKOTA VYA WATU KAMA HAWA MNAONA NI MAGENIOUS SANA SHEENZ KABISA
Wivu huu mwaka wa haujaolewa? Wabongo tuna wivu aisee hovyoooEti bahati haikuwa yao, labda bahati ya hizo samani za kishamba hapo.
Nawaona washamba wawili sijui wameokotana wapi, bora kubaki single tu.
Jamaa Genius aliwahi kuwa TOLogic ya ku-copy kwenye vitabu?
Wewe mpumbavu huna tofauti na wafuasi wa kiboko ya wachawi.Danganya na wewe
Wewe mpumbavu huna tofauti na wafuasi wa kiboko ya wachawi.
Hapo doctor nanauka ndo yupi 🤔1. International best author and motivational speaker kutoka Tanzania akifurahia ndoa na mkewe halali.
2. Ikumbukwe pia Mheshimiwa Dr Nanauka aliwahi kuonyesha Nia Kwa Wadada kadhaa ila bahati haikuwa Yao. Asanteni.
View attachment 3059650