Joel Nanauka akifurahia ndoa

1. International best author and motivational speaker kutoka Tanzania akifurahia ndoa na mkewe halali.

2. Ikumbukwe pia Mheshimiwa Dr Nanauka aliwahi kuonyesha Nia Kwa Wadada kadhaa ila bahati haikuwa Yao. Asanteni.
View attachment 3059650
Eti bahati haikuwa yao, labda bahati ya hizo samani za kishamba hapo.

Nawaona washamba wawili sijui wameokotana wapi, bora kubaki single tu.
 
1. Ku-copy bila ku-acknowledge source ni plagiarism (wizi wa maarifa). Ipo siku atadhalilika labda aendelee kuwalisha matango Pori hapo hapo Buza na Mbagala.

2. APA reference style = ni referencing style we Dada acha kutishia watu
 
Wivu unakusumbua single mother!

C&p
 
Najua Joel kasoma vitabu vingi, na katoa semina nyingi tu za mahusiano na maisha kwa ujumla, ila sasa kaingia ndoa, namwambia tu, NDOA SIO VITABU WALA SEMINA, karibu uwanja wa vita baridi..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utakufa kwa wivu aisee duuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…