Joel Nanauka na Robert Heriel Mtibeli wamebarikiwa akili zenye maono

Nimekuwa nikimfatilia ndugu Robert Heriel Mtibeli pamoja na Ndugu Joel Nanauka .

Wote hawa huwa nasoma makala zao Facebook na katika WhatsApp Channel zao.

Niseme hawa jamaa wamebarikiwa Sana .

Natagemea kumuona Joel Nanauka pamoja na Robert Heriel wakilitumikia Taifa .
Mtibel naye ameingia kwenye siasa za bongo? Kwa Nanauka matumizi ya akili ndoi imefika mwisho wake maana kule CCM hatuhitaji akili.
 
Nimekuwa nikimfatilia ndugu Robert Heriel Mtibeli pamoja na Ndugu Joel Nanauka .

Wote hawa huwa nasoma makala zao Facebook na katika WhatsApp Channel zao.

Niseme hawa jamaa wamebarikiwa Sana .

Natagemea kumuona Joel Nanauka pamoja na Robert Heriel wakilitumikia Taifa .

Unalitumia jina langu kwa dhamiri njema?
 
Yes mkuu , najua umekuwa umekuwa ukisaidia jamii Sana Ila Endapo Serikali ikakubali kuwa na ushirikiano na wewe litakuwa jambo jema .

Hata Max Melo anafanya Kazi na Serikali kwahiyo Mimi sioni tatizo.
 
Kwa jf ilivyo utakuta mama ametufikia ndio mtibeli mwenyewe 😂😂😂😂
Sio kweli Ila hata angekuwa ndo yeye mwenyewe anakuwa amekosea wapi.

Jikite katika mada , lengo nikuona Taifa linapiga hatua kwa kuwatumia watu waliokuwa na Akili zenye Afya

Asante na karibu
 
Labda mtibeli Ila Brother Joel ni kama Dr Leaky enzi zile anachambua soka. Anaelezea vitu ambavyo vipo kwenye vitabu vya wakina Trump, Brian Tracy, MG,Zig zigler, Napoleon Hill na motivational speakersKWA lugha nyepesi.
Aliwahi kunisaidia USHAURI KWA Lugha nyepesi sana na nikautekeleza faster ila baadae nikakuta kwenye notice zangu za vitabu kipo.

Uwezo wa kuchakata complex information na kuzifafanua KWA Lugha rahisi zinazotekelezeka KWA hili Joel amebarikiwa.
 
Taifa letu halipigi hatua tupo hapa hapa jana na leo
 
Labda mtibeli Ila Brother Joel ni kama Dr Leaky enzi zile anachambua soka. Anaelezea vitu ambavyo vipo kwenye vitabu vya wakina Trump, Brian Tracy, MG,Zig zigler, Napoleon Hill na motivational speakersKWA lugha nyepesi.
Aliwahi kunisaidia USHAURI KWA Lugha nyepesi sana na nikautekeleza faster ila baadae nikakuta kwenye notice zangu za vitabu kipo.

Uwezo wa kuchakata complex information na kuzifafanua KWA Lugha rahisi zinazotekelezeka KWA hili Joel amebarikiwa.
Ni kawaida jamii zetu hasa black kutofurahia mafanikio ya watu hasa Kama AKILI kubwa iliyotulia.
 
Back
Top Bottom