Joel Nanauka na Robert Heriel Mtibeli wamebarikiwa akili zenye maono

Joel Nanauka na Robert Heriel Mtibeli wamebarikiwa akili zenye maono

Na mtag sana simpati pia...Mimi na yeye damu zetu ziliendana mno..

By the way jamaa atakua buheri wa afya hope ni majukumu ya kazi yatakua yame mtinga

Bila kumsahau mdogo wangu Monetary doctor
Natumaini atakua yupo salama, sijui kawezaje kukaa muda mrefu bila kuingia jf, anasemaga ikipita hata nusu saa hajaingia huwa anahisi kuumwa
 
Natumaini atakua yupo salama, sijui kawezaje kukaa muda mrefu bila kuingia jf, anasemaga ikipita hata nusu saa hajaingia huwa anahisi kuumwa
Sio KAWAIDA kabisa kabisa yaani Huwa haipiti siku

Kama Mimi pia ni JF MONGER.
 
Nimekuwa nikimfatilia ndugu Robert Heriel Mtibeli pamoja na Ndugu Joel Nanauka .

Wote hawa huwa nasoma makala zao Facebook na katika WhatsApp Channel zao.

Niseme hawa jamaa wamebarikiwa Sana .

Natagemea kumuona Joel Nanauka pamoja na Robert Heriel wakilitumikia Taifa .
Sawa mjumbe, Nyie watembeleeni tu na Bahasha za Khaki hawanaga shida hawa.
 
Back
Top Bottom