Mama Ametufikia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 535
- 1,395
Unavyo mjibu ni kama umependezwa 😂😂😂
Karibu mkuu ,Dah! Mwamsagia kunguni, kule jukwaa la biashara kulikuwa na mwamba anauza bata bukini halafu anasifia kwa id nyingine mods wakaziunganisha, nilichoka.😀😀
Sio rahisi watu kupenda kuona mafanikio ya wengineKuwa na ID nyingi ni sawa na kujitia kidole na kunasa
Ila pia binafsi ninaona kama kunauwezekano wa kukaa naye mbali ni bora kuliko na inawezekana.Sometime watu hutumia majina ya wengine kwa nia ovu, wengine kujipatia umaarufu (jambo ambalo sio baya) kama hakuvunjii heshima
🧠Hongera kwao
Hamna mwenye nia Mbaya Mtibeli anafahamika na anamiliki page kubwa Facebook .Ila pia binafsi ninaona kama kunauwezekano wa kukaa naye mbali ni bora kuliko na inawezekana.
Wewe tulia ninamsubiri Robert Heriel Mtibeli anijibu.Hamna mwenye nia Mbaya Mtibeli anafahamika na anamiliki page kubwa Facebook .
Lengo ni kuhakikisha analitumikia TAIFA hata Max Melo Serikali ilimuomba aisaidie .
Hivi mod hujuaje hizi id ni za mtu mmoja? Kujisifia ni hatari sana! hahahahaDah! Mwamsagia kunguni, kule jukwaa la biashara kulikuwa na mwamba anauza bata bukini halafu anasifia kwa id nyingine mods wakaziunganisha, nilichoka.😀😀
Kwa hiyo umekubali kuwa wewe ndiye mtibeli, siyo?Sio kweli Ila hata angekuwa ndo yeye mwenyewe anakuwa amekosea wapi.
Jikite katika mada , lengo nikuona Taifa linapiga hatua kwa kuwatumia watu waliokuwa na Akili zenye Afya
Asante na karibu
Uzi huu nani ameuanzisha ?Wewe tulia ninamsubiri Robert Heriel Mtibeli anijibu.
Watu mmekuwa raised in negative society kiasi kuamini MTU kupewa Compliments ni makosaHivi mod hujuaje hizi id ni za mtu mmoja? Kujisifia ni hatari sana! hahahaha
Hahahaha 😂🤣 hahahaha 😂🤣.Dah! Mwamsagia kunguni, kule jukwaa la biashara kulikuwa na mwamba anauza bata bukini halafu anasifia kwa id nyingine mods wakaziunganisha, nilichoka.😀😀
Uzi huu haujawalenga nyie umelenga mamlaka za uteuzi zinazofanya vetting.Kwa hiyo umekubali kuwa wewe ndiye mtibeli, siyo?
Nanauka amembadua yule mjinga aliyekuwa mbunge wa mtwara mjini ambae amewahi kuishi sana gai akifanya uovu wa kila ainaNimekuwa nikimfatilia ndugu Robert Heriel Mtibeli pamoja na Ndugu Joel Nanauka .
Wote hawa huwa nasoma makala zao Facebook na katika WhatsApp Channel zao.
Niseme hawa jamaa wamebarikiwa Sana .
Natagemea kumuona Joel Nanauka pamoja na Robert Heriel wakilitumikia Taifa .
Sisi ndio wale tunapofanya vetting 😎😎Uzi huu haujawalenga nyie umelenga mamlaka za uteuzi zinazofanya vetting.
😹😹😹Dah! Mwamsagia kunguni, kule jukwaa la biashara kulikuwa na mwamba anauza bata bukini halafu anasifia kwa id nyingine mods wakaziunganisha, nilichoka.😀😀