chama mpangala
JF-Expert Member
- Sep 3, 2015
- 623
- 942
Ni kweli kabisaMtibel naye ameingia kwenye siasa za bongo? Kwa Nanauka matumizi ya akili ndoi imefika mwisho wake maana kule CCM hatuhitaji akili.
Ni kweli kabisaMtibel naye ameingia kwenye siasa za bongo? Kwa Nanauka matumizi ya akili ndoi imefika mwisho wake maana kule CCM hatuhitaji akili.
IP adrress.Hivi mod hujuaje hizi id ni za mtu mmoja? Kujisifia ni hatari sana! hahahaha
Muache apumzishe matumizi ya akili ya muda ale pesa bila jasho..namkubali sana jamaaMtibel naye ameingia kwenye siasa za bongo? Kwa Nanauka matumizi ya akili ndoi imefika mwisho wake maana kule CCM hatuhitaji akili.
Huo ndio udoktoriiii tukuka kabisaa
Hakika mkuu 😀Huo ndio udoktoriiii tukuka kabisaa
Mimi nataka nifungue ad's zingine tatu moja mchambuzi wa mapenzi, mchambuzi wa mpira na mwisho mwanasiasa mchambuzi kama Robert shughuruHakika mkuu 😀
Aliwai kuwa CHADEMA lakini mulishindwa kumtumia ipasavyo.Mtibel naye ameingia kwenye siasa za bongo? Kwa Nanauka matumizi ya akili ndoi imefika mwisho wake maana kule CCM hatuhitaji akili.
Sema walishindwa kumtumia. Mimi na Mwashamba bado hatukata tamaa kuukwaa uDC. 😛 😛 😛Aliwai kuwa CHADEMA lakini mulishindwa kumtumia ipasavyo.
Huyo operator wa mitambo ya kutengeneza mbolea pale kiwandani Minjingu ana heka heka sanaHuko juu nimemuona chizi maarifa anauliza wenye vyumba vingi wanawezaje wakati wote ni walewale😂
Tufanye hivyo mkuu 😀Mimi nataka nifungue ad's zingine tatu moja mchambuzi wa mapenzi, mchambuzi wa mpira na mwisho mwanasiasa mchambuzi kama Robert shughuru
😁🤓😄😊
Just jocking 🤣
Chini ya ccm sijui kama wako tayari kupokwa akili hizo ulizoziona kwaoNimekuwa nikimfatilia ndugu Robert Heriel Mtibeli pamoja na Ndugu Joel Nanauka .
Wote hawa huwa nasoma makala zao Facebook na katika WhatsApp Channel zao.
Niseme hawa jamaa wamebarikiwa Sana .
Natagemea kumuona Joel Nanauka pamoja na Robert Heriel wakilitumikia Taifa .
Karibu kaka Dunia ni hii hii kaka🙌🙌Tufanye hivyo mkuu 😀
Iko hivyo kaka 😀Karibu kaka Dunia ni hii hii kaka🙌🙌
Hujambo?Bado Mtibeli
Chawa mjinga asie na watu .. atapasikia TU bungeniBado Mtibeli
Sijambo mkuuHujambo?
Nafurahi kusikia hivyoSijambo mkuu