Mama Ametufikia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 535
- 1,395
Mtibel naye ameingia kwenye siasa za bongo? Kwa Nanauka matumizi ya akili ndoi imefika mwisho wake maana kule CCM hatuhitaji akili.Nimekuwa nikimfatilia ndugu Robert Heriel Mtibeli pamoja na Ndugu Joel Nanauka .
Wote hawa huwa nasoma makala zao Facebook na katika WhatsApp Channel zao.
Niseme hawa jamaa wamebarikiwa Sana .
Natagemea kumuona Joel Nanauka pamoja na Robert Heriel wakilitumikia Taifa .
Muache kijana alitumikie TAIFA.Mtibel naye ameingia kwenye siasa za bongo? Kwa Nanauka matumizi ya akili ndoi imefika mwisho wake maana kule CCM hatuhitaji akili.
Rekebisha kauli yako. Sema tumwache kijana na yeye ale keki ya Taifa. Ndani ya Serikali ya CCM hatuhitaji matumizi ya akili bali kuzisifia fikra za Mwenyekiti wa Chama.Muache kijana alitumikie TAIFA.
Nimekuwa nikimfatilia ndugu Robert Heriel Mtibeli pamoja na Ndugu Joel Nanauka .
Wote hawa huwa nasoma makala zao Facebook na katika WhatsApp Channel zao.
Niseme hawa jamaa wamebarikiwa Sana .
Natagemea kumuona Joel Nanauka pamoja na Robert Heriel wakilitumikia Taifa .
Yes mkuu , najua umekuwa umekuwa ukisaidia jamii Sana Ila Endapo Serikali ikakubali kuwa na ushirikiano na wewe litakuwa jambo jema .Unalitumia jina langu kwa dhamiri njema?
BarikiwaYes mkuu , najua umekuwa umekuwa ukisaidia jamii Sana Ila Endapo Serikali ikakubali kuwa na ushirikiano na wewe litakuwa jambo jema .
Hata Max Melo anafanya Kazi na Serikali kwahiyo Mimi sioni tatizo.
Sio kweli Ila hata angekuwa ndo yeye mwenyewe anakuwa amekosea wapi.Kwa jf ilivyo utakuta mama ametufikia ndio mtibeli mwenyewe ππππ
Dah! Mwamsagia kunguni, kule jukwaa la biashara kulikuwa na mwamba anauza bata bukini halafu anasifia kwa id nyingine mods wakaziunganisha, nilichoka.ππKwa jf ilivyo utakuta mama ametufikia ndio mtibeli mwenyewe ππππ
Unavyo mjibu ni kama umependezwa πππBarikiwa
Taifa letu halipigi hatua tupo hapa hapa jana na leoSio kweli Ila hata angekuwa ndo yeye mwenyewe anakuwa amekosea wapi.
Jikite katika mada , lengo nikuona Taifa linapiga hatua kwa kuwatumia watu waliokuwa na Akili zenye Afya
Asante na karibu
Ni kawaida jamii zetu hasa black kutofurahia mafanikio ya watu hasa Kama AKILI kubwa iliyotulia.Labda mtibeli Ila Brother Joel ni kama Dr Leaky enzi zile anachambua soka. Anaelezea vitu ambavyo vipo kwenye vitabu vya wakina Trump, Brian Tracy, MG,Zig zigler, Napoleon Hill na motivational speakersKWA lugha nyepesi.
Aliwahi kunisaidia USHAURI KWA Lugha nyepesi sana na nikautekeleza faster ila baadae nikakuta kwenye notice zangu za vitabu kipo.
Uwezo wa kuchakata complex information na kuzifafanua KWA Lugha rahisi zinazotekelezeka KWA hili Joel amebarikiwa.
Okay Asante sana mkuuTaifa letu halipigi hatua tupo hapa hapa jana na leo