Joel Nanauka na Robert Heriel Mtibeli wamebarikiwa akili zenye maono

Ila pia binafsi ninaona kama kunauwezekano wa kukaa naye mbali ni bora kuliko na inawezekana.
Hamna mwenye nia Mbaya Mtibeli anafahamika na anamiliki page kubwa Facebook .

Lengo ni kuhakikisha analitumikia TAIFA hata Max Melo Serikali ilimuomba aisaidie .
 
Dah! Mwamsagia kunguni, kule jukwaa la biashara kulikuwa na mwamba anauza bata bukini halafu anasifia kwa id nyingine mods wakaziunganisha, nilichoka.πŸ˜€πŸ˜€
Hivi mod hujuaje hizi id ni za mtu mmoja? Kujisifia ni hatari sana! hahahaha
 
Sio kweli Ila hata angekuwa ndo yeye mwenyewe anakuwa amekosea wapi.

Jikite katika mada , lengo nikuona Taifa linapiga hatua kwa kuwatumia watu waliokuwa na Akili zenye Afya

Asante na karibu
Kwa hiyo umekubali kuwa wewe ndiye mtibeli, siyo?
 
Mbona huu mwandiko unafanana na mmoja kati hao uliowataja hapo?
 
Nanauka amembadua yule mjinga aliyekuwa mbunge wa mtwara mjini ambae amewahi kuishi sana gai akifanya uovu wa kila aina
 
Dah! Mwamsagia kunguni, kule jukwaa la biashara kulikuwa na mwamba anauza bata bukini halafu anasifia kwa id nyingine mods wakaziunganisha, nilichoka.πŸ˜€πŸ˜€
😹😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…