Joel Nanauka na Robert Heriel Mtibeli wamebarikiwa akili zenye maono

Huko juu nimemuona chizi maarifa anauliza wenye vyumba vingi wanawezaje wakati wote ni walewale😂
Huyo operator wa mitambo ya kutengeneza mbolea pale kiwandani Minjingu ana heka heka sana
 
Chini ya ccm sijui kama wako tayari kupokwa akili hizo ulizoziona kwao
 
Huyo mtibeli nakubaliana na ww ila huyo mwingine sijui nnanuka daaaa alaifanya mwanangu elliwizy kuacha chuo pale UDOM na kwenda kufanya biasharra aiseeeeee alichokutana nacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…