Joel Peter kawauliza waislamu na wakristu swali gumu

Utajuaje ili ? Nipe ishara hata ya yona
Zipo nyingi si lazima ishara ya Yona πŸ˜‚

πŸ‘‰Mawio na machweo

πŸ‘‰Majira ya mwaka

πŸ‘‰Kupwa na kujaa Kwa bahari.

πŸ‘‰Volcano

πŸ‘‰Matetemeko ya ardhi.

πŸ‘†Wadudu wadogo (mchwa) kujenga kitu mithili ya mlima

πŸ‘†Ushirikiano na muundo wa kijeshi wa Wadudu kama nyuki pamoja na kuwa na uwezo wa kugundua hatari,kubwa zaidi usafi yaani wewe msomaji wa hii comment huna uwezo wa kumzidi nyuki Kwa usafi.

πŸ‘†Eco system,yaani wanyama porini kutegemeana.

πŸ‘† Radi na vichocheo vingine angani.

πŸ‘†Uwezo wa ndege kujenga nyumba mithili ya mainjinia wakubwa.

Yapo maajabu mengi ambayo kwako unayaona ni kawaida lakini ukweli ni vitu vikubwa mno
 
Na yeye mungu kwa uwezo wake wote huo wa kuweka vyote hivyo katika mpangilio huo na yeye uwezo wake umewekwa na nani mpaka awe ana akili kiasi hicho?
 
Swali rahisi sana , tatizo mnauliza maswali yale yale kila siku
 
Tafakari juu ya hoja zake acha kumbwelambwela huo muda haupo tena
 
Hizo ni sound za wafia dini ,hakuna lolote
 
Kwahiyo hitimisho lake ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…